Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Mazungumzo yalihusu nini?Hapa mstaafu aliongea kidipromasia zaidi lakini ukweli tunaujua kuhusu hayo majadiliano yalihusu kitu gani tofauti na anachozungumza mstaafu.
Ila bado najiuliza kama kulikuwa na haja ya mahojiano kuhusiana na suala hili!