Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ukijua itakusaidia nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna ukweli. Kila kitu kiliandaliwa. Na wakatafuta location mama samia aweze rusha ile taarifa. As wel ass shughuli za chama zilikua zinaendelea kule. Automatically TBC na media zingine zilikuwepo kule. Na kujazia tu, ile haikua breaking news everything was prepared as soon as msiba ulipotokea.Kuna taarifa kuwa Press ya Mama kulitangazia Taifa msiba wa Magufuli ilitumwa TBC kwa Whatsapp bila hata Gen Mabeyo na wenzake kujua. Nao walishangaa tu imepelekwa na nani na Mama Samia kujuaje? Je kuna ukweli wowote?
Mtu amekuwa chief of staffs halafu asiwe na sifa za kuwa CDF!?unajua hata itifaki za mgambo kweli!?Mabeyo hakuwa na sifa ya kuwa CDF alibebwa na ukabila. Magu alikuwa mkabila hasa, mpk leo sijui nchi ingegawanyika mara ngapi.
Mshana Jr njoo tusaidie kidogo hapa tumekwama wanafunzi wako.Habari za mda huu wapwa, kwa mliobahatika kuangalia video ya cdf mabeyo anaelezea dakika za mwisho za magufuli kuna sehem alisema kwamba "Magufuli alimwita na kumwambia mm siwezi kupona niitieni kadinali pengo"
swali langu ni, Mtu anakua anapitia hali gan mpaka anasema maneno kama haya, kwa hadhi ya magufuli bila shaka alikua na madaktari bingwa wengi, ni nini kinamfanya achukue kusmama upande wa kwamba hatapona ilihali anapatikwa huduma standard kabisa, nlitegemea labda awe upande wa imani kwamba ipo sku ntapona ata kama itachukua mda
1. Makonda alikuwa mkuu wa mkoa - sifa ya kuwa mkuu wa mkoa ni kujua kusoma na kuandika tuu na sii kuwa na cheti. Ila hawa walio foji vyeti walikuwa katika nyanja mbalimbali za utendaji (mfano, waalimu, madaktari, wahandisi n.k)Alikuwa bias. Mbona alimuacha makonda aendelee licha ya kufoji vyeti na majina makonda aliua, hakuwa analipa kodi na ushuru alikuwa anatumia madaraka yake vibaya. Licha ya kuwafukuza wenye vyeti feki ilileta tija gani? Kupitia yeye Jiwe kulikuwa na upotevu wa matrillion.
Wengine Wana njaa ya mawazo, ukiwatafakari utaishia kuwasikitikia.Mtu amekuwa chief of staffs halafu asiwe na sifa za kuwa CDF!?unajua hata itifaki za mgambo kweli!?
1. Bila shaka aliajiriwa Kwa kutoa rushwa sababu kwa Sheria, miongozo na itifaki za kuajiri haiwezekani mtu uliye foji cheti kuajiriwa.Kama ambavyo na mimi nina mashaka na uwezo wako finyu wa kifikiri na kuiljigeuza kuwa shabiki usie na hoja.
Nani anaajiri, anatumia vigezo gani? Umemuajiri mtu ametumika miaka 20, 25, 30 ndio unabaini kuwa alifoji cheti, tena ni cheti cha kidato cha nne.
Mtu huyo huyo ni daktari bingwa, mhandisi au mwalimu mwandamizi; kwa kuwa tu analifoji cheti cha kidato cha nne unamuondoa kazini? Ni zaidi ya ujinga.
akija kukuoa mabeyo utakubali?Kwani mwanajeshi sio binadam?
Machozi ya mamba hayo.
Unajuwa maana ya Uislam?akija kukuoa mabeyo utakubali?
Sijui niambie weweUnajuwa maana ya Uislam?
Asiyejuwa maana haambiwi maana.Sijui niambie wewe
Nimsome yesu wapi?Asiyejuwa maana haambiwi maana.
Msome Yesu utajuwa maana ya Uislam.
Kwa paroko wako.Nimsome yesu wapi?
Paroko kawa kitabu sikuhizi? Au leo upo kwenye siku zako?Kwa paroko wako.
Kama Pàroko wako hamjui Yesu nenda msikitini.Paroko kawa kitabu sikuhizi? Au leo upo kwenye siku zako?
👊👊👏Labda sababu aliwekwa na jiwe, labda angekuwepo angeongezewa mkataba.
Nsikitini ni kitu gani?Jifunze kuandika vizuri wewe mremboKama Pàroko wako hamjui Yesu nenda nsikitini.