Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

yesu alilia msalabani na hali yeye ni mungu itakuwa mkuu wa majeshi usicheze na uchungu chozi litatoka huwezi kuzuia
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=9Hyg_T0yb-8

Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani.

Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekundę kadhaa ameonekana akibubijikwa machozi ya hudhuni mbele ya camera. Kumbuka ata alipofiwa na mtoto wake rubani, general akutoa chozi alipofika eneo la tukio.

Je, anajutia kutosikiliza maamuzi ya watu waliomshauri wapindue męża ya katiba huyo mama hiyo nafasi sio size yake na kinachoendelea leo Tanzania.

Hayo ya kujutia maamuzi, ni mawazo yako. Kwa nini uzushi unapendwa?
 
Bahati ni kufunuliwa kuhusu kifo, au kujua kwamba Mungu amekupa rehema?

Ukijua kifo chako, ndiyo nini sasa? Kwani wee hujui utakufa?

Unachezea rehema ya Mungu sasa, halafu???
Chuki zako kwa mtu haziondoi upendo wa Mungu kwake.Mungu apangiwi na wewe
Mungu ndio anajua moyo mtu ukoje sio wewe binadamu mjaa chuki inatosha kusema Magufuli yuko peponi kwa sababu alioneshwa na Mungu kwamba safari yake imefika naye akajiandaa kwa kuwaita watumishi wa Mungu wamuombee na wakamuombea na kumpaka mafuta akaenda kwa Baba yake akiwa vizuri.
Na Mimi na wewe tuombe kifo chema
Amen 🙏.
 
Labda wewe ndiye mwenye chuki? Soma kwanza hoja yangu uielewe kabla ya kuropokwa uchuro.

Mosi, ukingoja hadi saa ya mwisho ndipo utubu, unaweza usiipate nafasi hiyo kamwe.

Ni sawa na timu ya mpira kutegemea penalti kwenye dakika za nyongeza!

Huko ni kuchezea shilingi kwenye tundu la choo. Ndiyo maana Maandiko yanasema muda ni sasa; wokovu ni sasa.

Pili, kuombewa kwa mgonjwa mahututi ni jambo moja. Kuokolewa hatimaye katika ufalme wa Mungu siku ya mwisho ya Kiama, ni jambo lingine tofauti kabisa!

Kazi ya mwanadamu ni kufanya sehemu yake ya kutubu na kujiweka karibu na Mungu; lakini kuhitimisha kwamba fulani na fulani ataurithi ufalme ama atahukumiwa, hilo wala si jukumu la mwanadamu yeyote. Usithubutu hata kulifikiria!

Tatu, kwa mantiki hiyohiyo, ni uongo wa mchana kudai eti fulani na fulani yuko sasa peponi, mbinguni ama paradiso.

Kama ndivyo, hivi Kristu ajapo mara ya pili atawafufua wenye haki wapi ili kupaa nao mbinguni???

Someni Biblia, acheni kushupalia mapepo ya upumbavu akilini mwenu.
 
Kama umesikiliza mwishoni ile ni diplomatic language tu kwa nafasi lazima awe responsible kwenye kauli zake kutoingilia siasa zinazoendelea.

Lakini body language ndio kila kitu hasa akielezea siku za mwisho ilivyokuwa hadi mauti yanamkuta marehemu.

Itakuwa kuna kitu kinamuumiza mpaka leo yale malengelenge ya machozi sio bure na kushindwa kuzuia emotions zake ata kwenye kuongea kwa majonzi ile się tabia ya army general kushindwa kujizuia. Kwa nafasi yake mtu kama yeye kwa kwa nilichokiona ni big deal kiaskari duniani.
Acha conspiracy theories. Kama kuna kitu hataki kukisema, basi asingekubali interview hiyo kwani hakulazimishwa kuhojiwa.
 
Acha conspiracy theories. Kama kuna kitu hataki kukisema, basi asingekubali interview hiyo kwani hakulazimishwa kuhojiwa.
Interview imefanyika on the eve of untimely death ya raisi. So intention itakuwa ni ku-share a little experience on what transpired in the last days of the deceased to commemorate the upcoming anniversary day.

Ile sio interview ya spill it all but paying homage to the day ndio msingi wa brief background akiwa kama witness, without going all out on classified information.
 
Kama umesikiliza mwishoni ile ni diplomatic language tu kwa nafasi lazima awe responsible kwenye kauli zake kutoingilia siasa zinazoendelea.

Lakini body language ndio kila kitu hasa akielezea siku za mwisho ilivyokuwa hadi mauti yanamkuta marehemu.

Itakuwa kuna kitu kinamuumiza mpaka leo yale malengelenge ya machozi sio bure na kushindwa kuzuia emotions zake ata kwenye kuongea kwa majonzi ile się tabia ya army general kushindwa kujizuia. Kwa nafasi yake mtu kama yeye kwa kwa nilichokiona ni big deal kiaskari duniani.
Wenda alikuwa anajutia ujinga uliofanywa na wanasiasa wa ccm kwa kumweka mtu asiyefaa lakini wakitambua kabisa kuna mazingira anaweza kuwa Rais wa nchi...hapo alikuwa anamsikitia Hayati kwanini alimtea msaidizi huyu? Au alidhani ataishi miaka zaidi ya 10 kwenye madaraka.

Ata mkeo ukishazaa nae watoto lazima utambue kuwa ukitangulia mbele ya haki atakuwa na uwezo wa kuendeleza pale ulipoishia ikiwa ni pamoja na kuwapa watoto malezi yanayofaa tofauti na hapo wewe ndo utasikitisha kwa kuchagua ....
 
Interview imefanyika on the eve of untimely death ya raisi. So intention itakuwa ni ku-share a little experience on what transpired in the last days of the deceased to commemorate the upcoming anniversary day.

Ile sio interview ya spill it all but paying homage to the day ndio msingi wa brief background akiwa kama witness, without going all out on classified information.
usimpangie cha kuongea; hakulazimishwa kuongea na hivyo hakuwa na haja ya kuficha.

usiwe mmoja wa hawa
 
usimpangie cha kuongea; hakulazimishwa kuongea na hivyo hakuwa na haja ya kuficha.

usiwe mmoja wa hawa
Hii dunia ina kanuni know what to say given the occasion, mtu awezi jiongelea tu mambo kwa sababu wewe unataka kusikia.

Pili kuna watu kadhaa walikuweko mbona hakuna anaengoa in details mimi na wewe hatujui kama kilichojadiliwa or what transpired ni classified information. Sasa unataka mtu atoe mambo waliyokubaliana ni siri ya nchi kisa wewe unataka kusikia (that’s not how the world works).

Si hata huko marekani watu wakitaka kuandika biography zao au mambo ya serikali katika muda wao kama walikuwa sehemu ya nyadhifa za juu lazima kwanza watu wao wa usalama wasome kwanza kuona hakuna classified information na wakikuta wanaambiwa wafute wataongelea mambo juu juu tu kama kwenye kitabu cha John Bolton.

Mambo ya serikali yana rules na wala sidhani kama generał ana interest nayo, yeye alikuwa ameongea enough kwa occasion ya jana sharing the experience, and that’s enough for the occasion.
 
Hii dunia ina kanuni know what to say given the occasion, mtu awezi jiongelea tu mambo kwa sababu wewe unataka kusikia.

Pili kuna watu kadhaa walikuweko mbona hakuna anaengoa in details mimi na wewe hatujui kama kilichojadiliwa or what transpired ni classified information. Sasa unataka mtu atoe mambo waliyokubaliana na siri ya nchi kisa wewe unataka kusikia (that’s not how the world works).

Si hata huko marekani watu wakitaka kuandika biography zao au mambo ya serikali katika muda wao kama walikuwa sehemu ya nyadhifa za juu lazima kwanza watu wao wa usalama wasome kwanza kuona hakuna classified information wataongelea mambo juu juu tu kama kwenye kitabu cha John Bolton.

Mambo ya serikali yana rules na wala sidhani kama generał ana interest nayo, yeye alikuwa ameongea enough kwa occasion ya jana.
Kudhani kuwa wewe ndiye unayeijua dunia hii kuliko wengine wote ndilo pungufu kubwa ulilo nalo.
 
Kudhani kuwa wewe ndiye unayeijua dunia hii kuliko wengine wote ndilo pungufu kubwa ulilo nalo.
Kaazi kweli kweli

Yaani wewe unataka mtu aende in details hata kama hizo info ni classified, tena mtu aliepa kulinda siri za nchi. Kama ingekuwa raisi hivyo si Bashiru nae angesimulia na wengine waliokuwa Ikulu muda huo.

Isn’t that just common-sense

👋
 
Wewe umejuaje kwamba kuna details ambazo ameficha! Kama siyo kile ambacho waswahili tunaita umbea mtupu. Angekuwa kalazimishwa kutoa interview hiyo, labda tungeweza kudhani hakutaka kuyasema ila amelazimishwa hivyo kamezea mengine, lakini jamaa alikuwa anaongea yuko relaxed kabisa tena kwa hiari yake mwenyewe halafu wewe ubakuja hapa kutoa tafsri zako conspiratorial hizi ukitaka uskilizwe?
 
Labda wewe ndiye mwenye chuki? Soma kwanza hoja yangu uielewe kabla ya kuropokwa uchuro.

Mosi, ukingoja hadi saa ya mwisho ndipo utubu, unaweza usiipate nafasi hiyo kamwe.

Ni sawa na timu ya mpira kutegemea penalti kwenye dakika za nyongeza!

Huko ni kuchezea shilingi kwenye tundu la choo. Ndiyo maana Maandiko yanasema muda ni sasa; wokovu ni sasa.

Pili, kuombewa kwa mgonjwa mahututi ni jambo moja. Kuokolewa hatimaye katika ufalme wa Mungu siku ya mwisho ya Kiama, ni jambo lingine tofauti kabisa!

Kazi ya mwanadamu ni kufanya sehemu yake ya kutubu na kujiweka karibu na Mungu; lakini kuhitimisha kwamba fulani na fulani ataurithi ufalme ama atahukumiwa, hilo wala si jukumu la mwanadamu yeyote. Usithubutu hata kulifikiria!

Tatu, kwa mantiki hiyohiyo, ni uongo wa mchana kudai eti fulani na fulani yuko sasa peponi, mbinguni ama paradiso.

Kama ndivyo, hivi Kristu ajapo mara ya pili atawafufua wenye haki wapi ili kupaa nao mbinguni???

Someni Biblia, acheni kushupalia mapepo ya upumbavu akilini mwenu.
Wewe ni mjinga na ujui chochote Mungu wetu ni mwenye huruma sio Binadamu kama wewe mwenye chuki ndio maana nikakwambia Magufuli alipata bahati ya kipekee kufunuliwa na Mungu juu ya kifo chake na hiyo bahati sio wote tunaweza kupata .kama binadamu, hatuwezi kujua hali ya kiroho ya mtu mwingine, na kwamba ni Mungu pekee ndiye mwenye uwezo wa kuhukumu na kujua hatima ya kila mtu. Hivyo, ni vizuri kutoa heshima na kutambua kwamba hilo ni jambo ambalo hatuwezi kulihukumu.

Na kuhusu kuombea mgonjwa anaekaribia kufa soma hapa👇

Yakobo 5:14-15, tunasoma: "Je! Yumo mmojawapo kati yenu anaumwa? Na awaite wazee wa kanisa; nao waombee, wakimtia mafuta kwa jina la Bwana. Na maombi ya imani yatakayomwokoa mgonjwa, yatakomboa; na Bwana atamwinua; hata dhambi zake atakazozifanya zitamsamehe."

Je unabisha na Biblia?? Nilitee na wewe mstali wa biblia unaosema

kuombewa kwa mgonjwa mahututi ni jambo moja. Kuokolewa hatimaye katika ufalme wa Mungu siku ya mwisho ya Kiama, ni jambo lingine tofauti kabisa!

najitahidi kufuata mafundisho ya Biblia kwa bidii na nafurahia majadiliano ya kujenga kuhusu maandiko na imani. 🙏
 
Mtu akikaribia kufa anaweza kuona ishara ila anajua yeye tu anaweza kushindwa kusema moja kwa moja.

Pamoja na hayo Magufuli alijitambua kuwa alikuwa na mapungufu mengi na uhusiano wake na Mungu haukuwa mzuri na alijua nini kinakwenda kutokea akifa katika hali hiyo. Hivyo alihangaika sana.
lakini pamoja na hayo kwanini bado mtu hua anaamua kua upande wa kukubali kukata moto badala ya kuendelea kua na matumaini ya kuishi? ina maana kufa kumekua kurahisi ivi boss
 
Kilichonishangaza hata Magufuli hakuwa na mamlaka ya kuwaamrisha Madaktari
Unachanganya mambo. Magufuli alikuwa MGONJWA pale hospita. Kwa madaktari yeye alikuwa ni MGONJWA pamoja na kuwa alikuwa Rais. Wakati huo HAKUWA na MAMLAKA yoyote ya kuamua Madaktari wafanye nini.
 
Back
Top Bottom