Hapa mstaafu aliongea kidipromasia zaidi lakini ukweli tunaujua kuhusu hayo majadiliano yalihusu kitu gani tofauti na anachozungumza mstaafu.
Ila bado najiuliza kama kulikuwa na haja ya mahojiano kuhusiana na suala hili!
Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani.
Hata sasa huwa sielewi ilikuwaje ukastaafishwa na huyohuyo ambaye yupo madarakani kutokana na msimamo wako mkali dhidi ya suala hili na msimamo uliokuwa unagharimu uhai wako wakati wa mvutano huo! Nilitegemea umalize utumishi wako siku utumishi wa amiri jeshi umekoma pia.