Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Tena alikuwa na dhambi biblia inasema, sembuse kuacha mume kitu kidogo hicho, hajamuacha kwa kuwa na mume mwingine...anafanya kazi ya Bwana...

Acheni kukariri, ndoa usipokuwa nayo makini unaweza usiuone ufalme wa Mungu...
Shida ya wanawake mkipewa kipaza sauti huwa hamuwezi kuongea logic bali mnaongelea hisia zenu mnachanganya na zile za wanawake wengine waliovurugwa na kuwahadithia changamoto zao mnazivaa as if na ninyi ziliwakuta.

Hapa umechanganya madesa mengi bi dada. Unasema kumuacha mume na kwenda kwa mume mwingine sio issue katika misingi ipi au maelekezo ya nani? [emoji848]

Vitu vinaenda kwa utaratibu wewe unaongelea maamuzi binafsi ya kukurupuka. Huyo bwana unakwenda mfanyia kazi gani ile hali ushaharibu misingi ya maagizo yake?

Mwanamke nje ya ndoa hauna kazi ya maana utafanya zaidi ya kujenga barabara ya uharibifu na kuacha alama ya uzao wa kuhasi tu. Ni jambo pana sana kulielewa unatakiwa kujifunza sana. Wengi hampendi kujifunza mnaamini katika kile mnachoona kwa macho na kuhisi basi.
 
Nyege mshindo dawa yake ni kupigwa miti mpaka lile futa jeupe limtoke ndio akili inakuwa sawa vinginevyo wanakuwa na maamuzi ya hovyo kwa kukosa kutolewa lile futa mwishowe maumivu ya tumbo mgongo na kansa ya matiti,...achilia mbali hasira na stress.
 
Mariam Magdalene ni nani?
Mama mchungaji Donatila, hivi kuna pahala popote katika biblia Mariam Mgdalena ametajwa kuwa alikuwa mwanafunzi wa Yesu..!!?? Au ni watu tu wanadhani kuwa kwa vile alikuwepo sehemu tofauti kwenye matukio tofauti tofauti ya Yesu basi hiyo ndo sifa ya kuwa alikuwa mwanafunzi wa Yesu..!!?? Kama kuna hapo mahala, basi niewekee mstari huo hapa.
 
Umesahau yule aliyemuacha mmewe akamwambia aoe mwanamke mwingine yeye ana majukumu makubwa kitaifa akaja kuolewa na juma awesu mke wa pili. Na mme wake wa kwanza alikuwa sijui ni dc
Yule mwanamke alijua kutia kinyaa kama sio aibu. Na ipo siku atalipia hesabu yake. Mwanamke akikengeuka wala usipoteze muda kuongea mpe tu go ahead ya kufanya atakalo maana yeye ndie kataka. Ila siku hazigandi akili fupi huwa haioni mbali.

Naona mbali sana miaka ijayo hili taifa litakuwa na wasimbe wengi sana.
 
Why umewaza mambo ya kuuwana, is that the cause for separation? [emoji848]
 
Tina Turner hakufanikiwa mziki yeye kama yeye, ni huyo huyo mume wake abusive ndie alikuwa anamfunza mziki na kumuweka hapo alipokuwa. Kitu kibaya jamaa ni alikuwa anampiga sana ila eneo la mziki jamaa ndie kamtengeneza.
 
Wanawake wa kisasa wanapenda sana ukahaba ambao wanaupa jina la uhuru. Ukimuuliza uhuru alikufunga nani na alikuzuia nini utaona sura zao zinavyogubikwa aibu ya kuona ukweli wa upumbavu wanaofanya.

Mwanamke anaona kuishi na mwanaume na kutii ni kifungo ila kuwa na maisha ya kutombwa kila mwezi na mwanaume mpya, kupewa pesa za kubadili nguo, kukesha kitambaa cheupe, kusafiri mikoani na nje ya inchi ndio maisha.
 
Sasa aliyekwambia sisi tunasapoti hizo tabia ni nani? Mbona unaleta mjadala wa kitimoto kwenye kamati ya maandalizi ya maulidi msikitini? [emoji848]
 
Hebu ngoja kwanza bro, unashusha nondo nyingi kwa wakati m'moja kidogo utuvunje viuno.

Yaani unataka nambia kuwa huyu dada alikuwa anawapelekea moto mademu wenzake as in alikuwa anawasaga mademu wa kanisani kwa mume wake?

Swali lingine, huyu dada ana kanisa kumbe tayari, je lipo wapi natamani nilijue.
 
Sina maelezo zaidi ya hayo mkuu! Niliyoyaandika ni ya ukweli lakini nimemchafua sijajisikia vizuri

Tumpe muda kila kitu kitakua wazi siunaona ameshaanza mdogomdogo kujiexpose
Kanisa lake lipo Manzese tip top karibu na Darajani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…