Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Shida ya wanawake mkipewa kipaza sauti huwa hamuwezi kuongea logic bali mnaongelea hisia zenu mnachanganya na zile za wanawake wengine waliovurugwa na kuwahadithia changamoto zao mnazivaa as if na ninyi ziliwakuta.Tena alikuwa na dhambi biblia inasema, sembuse kuacha mume kitu kidogo hicho, hajamuacha kwa kuwa na mume mwingine...anafanya kazi ya Bwana...
Acheni kukariri, ndoa usipokuwa nayo makini unaweza usiuone ufalme wa Mungu...
Hapa umechanganya madesa mengi bi dada. Unasema kumuacha mume na kwenda kwa mume mwingine sio issue katika misingi ipi au maelekezo ya nani? [emoji848]
Vitu vinaenda kwa utaratibu wewe unaongelea maamuzi binafsi ya kukurupuka. Huyo bwana unakwenda mfanyia kazi gani ile hali ushaharibu misingi ya maagizo yake?
Mwanamke nje ya ndoa hauna kazi ya maana utafanya zaidi ya kujenga barabara ya uharibifu na kuacha alama ya uzao wa kuhasi tu. Ni jambo pana sana kulielewa unatakiwa kujifunza sana. Wengi hampendi kujifunza mnaamini katika kile mnachoona kwa macho na kuhisi basi.