Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Amekuwa mdangaji. Anapigwa miti
 
Yaaan mm always napenda mtu anayekuwa mkweli anayependa kuishi uhalisia wake haijalishi Nan atasema nn au jamii itamuonaje
Shusho na yy ni mtu tu ameamua kuwek Hisa zake juu ya ndoa yake na her next goals
Anaona kuwa ndoa inamkwamisha kwenye kufkia her goals so fu*k it away and focus on her goals that's it
 
Nilianza kumpuzaa alipopewa ten m pale Arusha akamsujudia nikamwonea huruma aliposema mondi ni mchungaji
 
Zipo sababu kadhaa zinazoweza kumkengeusha mwanamke,akapoteza nafasi yake.

Cheo,pesa,umaarufu,elimu,umasikini.

Ukiona mwanamke ana kimoja kati ya hivyo au viwili na bado amekaa ktk mstari,huyo ndio malkia wa nguvu.
 
Makahaba wa Yesu hao waliomwosha miguu, kumfuta kwa nywele na kumpaka futa la gharama.

Ukristo uliishia kipindi cha mitume sasaivi tuna Ushubwada tu wizi, uzinzi na upotoshaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…