wakunyonya
JF-Expert Member
- Feb 5, 2024
- 520
- 1,414
Siku zote shetan hudeal na wenye Imani,ili awatoe kwenye Imani waingie kwenye mfumo wke,,dada yetu naona kashaingia kwenye mfumo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100%...🤝Kuna shida huko ugosponini...
To me nyimbo za zamani ndio zilikuwa nzurDah aisee amezingua ila nyimbo zake nzuri kweli nzuri uongo mbaya nitaendelea tu kumkubali kwenye kazi Zake nzuri Sana shusho sio Jina dogo kwenye gospel tracks
kila mmoja ana muono wake dada......au wataka niseme anavutia......nabaki palepale.....MREMBO sana.Kazeeka urembo umeisha
Amekuwa mdangaji. Anapigwa mitiHii ni kauli ya dada mwimbaji wa siku nyingi aitwae Christina Shusho, "Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia.
"Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake.
Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"
Tawireee kaka... 🤣kila mmoja ana muono wake dada......au wataka niseme anavutia......nabaki palepale.....MREMBO sana.
HahahahahaAcheni mishangazi ijae kitaaa plus sigle mazaz mpaka price ya mbusousuo iwe $1
Nilianza kumpuzaa alipopewa ten m pale Arusha akamsujudia nikamwonea huruma aliposema mondi ni mchungajiHii ni kauli ya dada mwimbaji wa siku nyingi aitwae Christina Shusho, "Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia.
"Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake.
Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"
Nadhani kiumbe hatari zaid ni Mwanamke mwenye pesa📌Ogopa sana mwanamke akiw na pesa