Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Nadhani kiumbe hatari zaid ni Mwanamke mwenye pesa📌
Nilikuwa nafanya kazi na wanawake hizi taasisi za mishahara mirefu wana nyodo kinoma ,kwa vile mnalipwa sawa pale ni dharau kwenda mbele hakuna heshima.

Wengi miaka 30 ila ndoa hawana kabisa ,wanajiona wanajua kila kitu ...Kuna mmoja anapenda mambo ya uongozi kujiweka mbele mbele hana hata aibu .
 
Kweli kabisa. Katumwa huyo na hapo alipo ana hela ndefu tu mafichoni
 
Hawa ni wa kuwapuuza na kuwatenga kabisa, kiukwel Mwanamke ni kiumbe cha hovyo hovyo sana. Usiwape consideration hata kidogo na dawa yao ni kuwadharau na kuwapuuza kabisa.
 
Ndugu mbona 'code' rahs hvyo umeshndwa kunielewa??
 
Si vyema kufanya ujasiriamali kwa kumtumia Mungu. TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Malaya tu
 
Achana na Shusho vipi hao waumini wa kanisa lake? Ni watu wenye utaahira wa kiwango gani kuamini huyo malaya wa karne kuwa ni mchungaji? Kwa upande mwingine huyo kahaba ana nyimbo kali sana za Gospel. Huwa ninasikiliza sana nyimbo zake. Pia kajaliwa sana shepu kali. Kwa mabazazi waliomuonja wanaweza kutupa mrejesho.
 
Kafananisha kanisa na fremu pale kariakoo
 
Kunguru hafugiki.....eti mchungaji..Hahaha.. matakooooo ya nyani
 
Ukishaujua ukweli watasema umechanganyikiwa ili kila usemacho jamii ione kasema chizi, Christina yuko sawa kabisa, kwa miaka mingi jamii zetu zimelaghaiwa sana na masuala ya dini. Kama Mungu alituma hao mitume kwa nini sie waafrika tuwajue kupitia wazungu na waarabu. Sie hatuna mtume au nabii wetu ambae wazungu wanaweza kutoka na kusema huyu alkuwa Muafrika. Wake up guys. Kwa wale wa Technical schools watanielewa, hakuna somo la History maana yake halina umuhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…