kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
au huna taarifa ,maelezo ni kwamba aliendaHujui kuwa mara ya mwisho Besigye alikamatwa akiwa Kenya?
alienda kuishi au alikuwa amealikwa kwenye uzinduzi wa kitabu Cha Martha karuaHujui kuwa mara ya mwisho Besigye alikamatwa akiwa Kenya?
hapana maelezo ni kwamba alialikwa kwenye uzinduzi wa kitabu Cha Martha karua na sio kuishi......Hujui kuwa mara ya mwisho Besigye alikamatwa akiwa Kenya?