Chuki ya Wananchi kwa Serkali na Watawala ni kubwa

sasa kama mmepigana mangumi huko kwenye mapombe chota yenu na vizungura huko, ndiyo unakuja kumbwelambwela hapa jukwaani alaaa!!!!

utangamano miongoni mwa viongozi na wananchi wote Tanzania ni Imara mno na hakuna Kibaraka wala mercenaries wao wa kuJaribu kuudhoofisha ama kuuteteresha.

ramli chonganishi na ushirikiana wenu fanyeni huko huko πŸ’
 
Acha upuuzi wako wa kudhani kwamba kila anayechukizwa na huu utekaji na uuaji unaotekelezwa na 'wasiojulikana' kwa kutumwa na kulindwa na dola yuko affiliated na upuuzi wenu wa vyama vya siasa.View attachment 3171050
Gentleman,
huenda mwenye chuki ni wewe ambae unaandamwa na marejesho ya madeni ya kausha damu.

kama taifa,
utangamano miongoni mwa viongozi na wananchi wote Tanzania ni Imara mno kuliko wakati wowote tangu tupate uhuru πŸ’
 
Kwa hali hii Huyu maza akipata miaka mingine kumi sijui itakuaje tutakua kama marekani au south Africa Kila mtu atakua anatembea na silaha yake ukijichanganya tu ni Moja bila
Mapanga shaa, endapo wasiojulikana wataendelea kuto julikana
Tayari mioyo ya wengine kimewaka, (ignite), kumbe wamesha jipanga kukabiliana na watu wasiojulikana

Je madhara ya jamii kunyamaza ama kunyamazishwa yanajulikana?

Silence surrenders public responsibilities
 
Aiseee!!! watu wengi wameumia sana kwa kunusurika hao jamaa, hii inabidi wajiangalie sana viongozi. Chuki imekuwa kubwa sana.
Hao viongozi wa kujiangalia sana wapo?!!
Kauli kama "kifo ni kifo tu hata Marekani wanakufa" inaashiria hatari mno katika mioyo ya watu kuna vita kali mno dhidi ya watawala..tuombe Mungu iishie huko isije kujitokeza kwenye ulimwengu wa nyama
 
Yote haya yamesababishwa na serikali ya mama kutokuzingatia utawala wa Sheria na haki za binadamu.mama karuhusu utekaji na kejeli Kwa wanaotekwa eti kifo ni kifo tu!kipindi Cha nyuma mambo haya ya utekaji hatukuyaona kabisa.
Yaliasisiwa na Magufuri mtangulizi wake.
 
Afya ya akili
 
Ukipitia comments mitandaon unaelewa kabisa. Serikali inachukiwa sanaaa
 
Anatekwa mtu anaefahamika Stand wao wanakuja na ngonjera za mwanaume mmoja siku moja baadae ngonjera za jina lake wanapata sio mwanaume mmoja wahuni sio watu aisee..
 
Jambo jema kuwa huko kwenu watu wanajitambua.
 
Tayari mama keshaingia kwenye ile njia ya Magufuli iendayo.... Kama unampenda kweli basi kuwa mkweli kwake.
 
Tayari mama keshaingia kwenye ile njia ya Magufuli iendayo.... Kama unampenda kweli basi kuwa mkweli kwake.
kama taifa tunasonga mbele pamoja gentleman, haina maana nyinyi makaidi na wenye chuki binafsi tutawatenga kwenye maendeleo, hapana, haitakua hivyo,

maendeleo hayana chama,
na serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan, itaendelea kuboresha mazingira mazuri ya upatikanaji wa huduma za kijamii bila upendeleo wala ubaguzi na hapo ndipo, Taifa linasonga mbele katika umoja na mshikamano πŸ’
 
Kabisa, panakosekana pa kuanzia tu, ikipatikana fursa hivyo hakika ccm watashangaa na roho zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…