Chuki ya Wananchi kwa Serkali na Watawala ni kubwa

Yaani hayo umeambiwa na mkeo sijui mmeo ndio unawaita Watanzania? KUMBAVU!!!
 
Nope Chuki ya Wananchi kwa Wananchi ndio hatari sana na inabidi kuangalia sababu watawala ni wajanja wanaweza kuleta divide and rule...

Sababu hao watawala wakijua wanachukiwa its good (watajirekebisha) na kama wasipojirekebisha watafukuzwa (na kama hawajawa mashetani) basi wataachia ngazi..., Ni bora kuonyesha chuki kuliko kuzificha na mwisho wa siku when the last straw breaks the proverbial Camel inakuwa too late already...
 
Porojo tu hizi kwenye ulanzi na mbege.
 
We sema Visungura sijui ushirikina mwenzenu alikimbilia Lodge Kibamba huko nyumbani kwake ikatumwa difenda Yani kukosa wazee wa Mtaa wenye Hekima Jamaa na Familia yake wangekuwa wanaishi kwenye Ofisi za Serikali....
Yaani ni kwamba watu walishazingira kupiga petrol na kiberiti nyumba yake na za wapangaji.
 
Rais Mama huwezi hata kumdhania aisee.
Wajinga kama wewe ndiyo amwuwezi kumdhania nilipo waonyeni mapema hapa JF niliambulia ban kila kukicha na kejeli kutoka ccm na upinzani ....hata sasa nawaambia wazi wazi damu nyingi itamwagika kama samia aliendelea kuwa kitini kwa miaka 5 zaidi taifa litahalibika vibaya sana ...wakati huo bwana ROSTAM AZIZI NA GENGE LAKE WATAKUWA WAPO NJE YA NCHI WAKITUKEBEI KAMA ANAVYO FANYA SASA YULE MPUMBAVU ALIYEKUWA MTUME WA WAPUMBAVU KIBOKO YA WACHAWI
 
Ni mtawala kujitenga n wananchi wa TAIFA hili. Yy kutwa kiguu n njia kwenda majuu.bila hata kuwackiliza watanganyika.
All the best
 
Yaani ikitokea nchi ndogo kama Rwanda tukaingia nao kwenye vita, viongozi hawataamini namna Rwanda itakavyopiga majeshi yetu kwa sababu wananchi wametengenezewa chuki na dharau kubwa kutoka kwa viongozi wa serikali ya mama.
OGOPENI SANA VIONGOZI WANAOPATIKANA KWA KUPITIA TOBO ZAO MBILI ZA CHINI NA SI AKILI ZAO VICHWANI ...NDIYO MAANA DINI ZILIKATAZA WANAWAKE KUWA VIONGOZI ...KWENYE HILI NAUNGA MKONO HEKIMA YA MAFUNDISHO YA DINI ...KAZI YOYOTE YA UONGOZI TUSITHUBUTU KUMPA MWANAMKE HATA UJUMBE WA NYUMBA 10 NI HATAREE HATAREEE
 
unazungumzia kundi la watu wenye matatizo ya afya ya akili ama?

huo si uzushi kama ile drama ya petroli kwenye nyumba ya mbunge kule Nkasi gentleman?

infact,
hakuna mwenye ubavu wa kumfanyia hayo yote ndugu au Jirani yake huko mtaani eti kwasabb ya kushindwa vibaya uchaguzi.

Na ikitokea imetokea,
there is escape root for criminals at all within borders of our beautiful republic 🐒
 
Mwenye akili Sawa hawezi kujaza makura ya mchogno.
Wewe unawaza fiction mm nakuambia kilichomkuta Mwizi mwenzenu ambaye kwa Sasa Hana Raha kabisa.
 
Porojo tu hizi kwenye ulanzi na mbege.
jiepushe na kuhadaa vinywaji asili vya wenyewe, gentleman,
wengi wamesomeshwa na wazazi wao hadi vyuo vikuu kwa biashara ya ulanzi na mbege, ati wewe unasema nini? alaaaaa!

ikiwa umefikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala ni vizuri hekima ikakuelekeza kukaa kimya ama kupumzika, kuliko kumbwelambwela tu humu jukwaani 🐒
 
Kiboko ya wachawi anasema amezimisi zile laki tano tano za wajinga Tanzania
 
Wapi huko
 
Ukimya wa wananchi siyo jibu kuwa wana hofu.

Ni vile hakuna wa kuwasha utambi
 
Kwa kweli inasikitisha sana,,
 
Kiboko ya wachawi anasema amezimisi zile laki tano tano za wajinga Tanzania
😁😁WATANZANIA NI WAPUMBAVU LAHITI WANGELISOMA KITABU CHA GENIUS ABUNUASI NA KUMTAMBUA KUA ABUNUASI NI GENIUS KAMWE WASINGE INGIZWA MKENGE NA KIBOKO YA WACHAWI ..MAANA MBINU ALIYO ITUMIA KIBOKO YA WACHAWI KAITOA KWA GENIUS ABUNUASI.....TATIZO WATANZANIA WANAKUAMBIA ABUNUASI NI MJINGA NA MPUMBAVU ..utasikia mtu anasema usiwe mjinga kama abunuasi.....Nyerere alikua very intelligent ndiyo maana aligundua kitu kwenye kitabu cha abunuasi akakipiga marufuku alijua akili za bunuasi niza hali ya juu sana wananchi wakizielewa watamsumbua kwenye uongozi wake....mimi huwa najiuliza ni nani aliye tunga kitabu cha abunuasi huyo jamaa ni mmojawapo wa watanzania wenye akili kubwa sana.
 
Yaani ikitokea nchi ndogo kama Rwanda tukaingia nao kwenye vita, viongozi hawataamini namna Rwanda itakavyopiga majeshi yetu kwa sababu wananchi wametengenezewa chuki na dharau kubwa kutoka kwa viongozi wa serikali ya mama.
Ule umoja wanaodhani Tanzania tunao sahizi haupo tena, kilichobaki ni unafiki tu na kuogopa lawama. Ukitaka kujua hilo matukio kama hio ajali ndio funzo.

Hali hiyo iko mpaka mitaani, ukiwa mtu ambaye huna time na raia likikukuta jambo watu wanawahi kuposti tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…