Chuki ya Wananchi kwa Serkali na Watawala ni kubwa

Yaliasisiwa na Magufuri mtangulizi wake.
Magufuli hakuwa mjinga, nakukumbusha tena the guy wasn't an idiot! Alichukua hatua palipohitajika ila he delivered to the public. Alifanya ambayo kiongozi wa taifa anapaswa kuyafanya for the public welfare.
 
Watajirekebisha bila kuwajibishwa? Are you non native citizen of Tanzania?
 
Atleast we learnt the Hard way
 
Watajirekebisha bila kuwajibishwa? Are you non native citizen of Tanzania?
Nimeonyesha ni nini kitatokea wasipojirekebisha watafukuzwa na wakifukuzwa wasipotoka ndio hivyo yanayoendelea huenda yakaendelea tena haya ni madogo... Shida ya issue kama hizi huwa hakuna washindi bali casualities of different degrees..., Mchuma Janga hula na Wakwao..., there is one biggest looser naye ni Tanzania...

Ila knowing politicians na historical events kitakachotokea ni Divide and Rule watu kitaa kushikana mashati na huko juu kuendeleza libeneke (sana sana itakuwa ni kubadilisha tu Chupa wakati mvinyo ni ule ule)

AU Different Script Same Cast.....
 
Watendaji wameamua kuichukiza Serikali na wananchi,CCM mpaka mitaani wapo lkn hawasemi kama wala kuhoji.
Mfano ukija kitungwa area M.Kabla ya March 2021 maji yalikuwa yanatoka,baada ya July 2021 maji hayatoki hata mvua inyeshe.Ni ishara kuwa MORUWASA wametufungia.
CCM hawana intelligencia ya kubaini kuwa wanagombanishwa wa ajiliwa wa serikali na wananchi.
 
Usimuamshe aliyelala
 


Hawa hawana uvumilivu na ndivyo walivyolelewa.

Wakati wa Biashara ya watumwa waliwachinja wale wote ambao hawakusilimu na kuwafanya watumwa wale wote waliovumilia kuuzwa kama kuku.
Karne hii bado waarabu wakiwa kwao hawavumilii kabisa watu wa dini nyingine kutangaza dini yao . Wala hawana huruma na Mwarabu anayeamua kubadili dini na kuwa Mkristo hata kama matendo yake ni mazuri kama malaika bado watamuua kwa kumkata shingo .
Sasa kama wanaua mtu kwa sababu ya imani tu bila hata kufanya tendo baya ,ni wazi kuwa ni watu katili sana kwa mtu asiyefuata yale wanayoyataka wao.
 
Me sijasoma ndani, lakin heading inajieleza wananchi wanatembea na slogan ya ubaya ubwela baada ya chuki ya wazi ya watawala kwa wananchi, haiwezekani mwananchi ana njaa ya kutisha afu mtawala anaishi maisha ya peponi
 
Ushetani tu unawaongoza
 
Wapi huko Kuna Chuki mbona hapa ni bendera zetu tu ndio zinaoepea? πŸ˜€ Hii ni ishara kuwa Chama na serikali vinakubalika 99.9%
 
Wapi huko Kuna Chuki mbona hapa ni bendera zetu tu ndio zinaoepea? πŸ˜€ Hii ni ishara kuwa Chama na serikali vinakubalika 99.9%View attachment 3172999
Bendera za chama tawala kupepea sio hoja sababu unajua kabisa zinapepea kwa mtutu wa bunduki sababu kama mtu aliye jichorea picha yake mwenyewe kwa mapenzi ya rais wake baadae akaamua kuichana mwenyewe na yeye akapotezwa hadi leo hajulikani alipo sembuse bendera zilizo wekwa bila hiyari ya wananchi!? Acha ujinga wako, wananchi wana hasira sana na serikali onevu hii na mbaya zaidi hata wana ccm wanabaki kuwa wanaccm kwa hofu ila sio kwa mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…