Ana kazi kubwa Sana Mana kapata uongozi nchi ikiwa na tahaluki kubwa kuliko wakati wowote ule tangu tupate uhuru.Nchi imegawanyika kisiasa,hAli ya uchumi ni mbaya Sana,Miradi ni mikubwa na inahitaji Matirion kuikamilisha,ajira Bado ni tatizo,swala la katiba mpya,kwa haya inabdi mama asaidiwe la sivyo ataekemewa na mwisho wa siku ni kuja kupaniki na kupoteza nwekekeo .
Kweli kabisa Samia amuwezi Lisu.Alishindwa Magufuli Samia atamuweza?!
Mama wala hatayumbishwa na ngo uchwara inayoitwa chaga development manifestoUjio wa TL utaleta kimbuga kikubwa mno kwa Samia hasa Tundu atakapoanza zile rabsha zake za maneno ya kukwaza lkn ya kweli.
Tundu ni mtu aliyenyooka na muwasilishaji hoja zake kwa ukali huku akijiamini kupitiliza na huwa hajali.
Samia ajiandae kuitwa majina asiyoyatarajia.Haitashangaza Tundu akimpa jina la 'ma ushungi' huku akimtweza.Kumbukeni TL alimuita Magufuli dikteta uchwara tena mchana kweupe!
Kugawanyika kwa wana CCM ni bayana.Hakutakuwa na siri tena kwenye chama na Serikali jambo ambalo kina Tundu watazipata siri nyingi za sirini na kwazo ndizo zitawasaidia kumsurubu Samia.
2022 itakuwa chungu sana kwa Samia.
Ni kweli kwa mtenda maovu. Maana hazushi. Kwahiyo kwa SSH atakwama!Imeisha iyo yaani miaka ya 2016na2017 Magu alikuwa na stress yaani kila alichokofanya Lissu alikichallenge,,,Lissu anajua kukera[emoji1][emoji1]
Ujio wa TL utaleta kimbuga kikubwa mno kwa Samia hasa Tundu atakapoanza zile rabsha zake za maneno ya kukwaza lkn ya kweli.
Tundu ni mtu aliyenyooka na muwasilishaji hoja zake kwa ukali huku akijiamini kupitiliza na huwa hajali.
Samia ajiandae kuitwa majina asiyoyatarajia.Haitashangaza Tundu akimpa jina la 'ma ushungi' huku akimtweza.Kumbukeni TL alimuita Magufuli dikteta uchwara tena mchana kweupe!
Kugawanyika kwa wana CCM ni bayana.Hakutakuwa na siri tena kwenye chama na Serikali jambo ambalo kina Tundu watazipata siri nyingi za sirini na kwazo ndizo zitawasaidia kumsurubu Samia.
2022 itakuwa chungu sana kwa Samia.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNaogopa kuota ndoto mbaya na za kutisha kama ya mleta mada
Nani huyo Magufuli alimshindwa??Alishindwa Magufuli Samia atamuweza?!
MchongoRais wa MSEREREKO!
Atatulizwa tuli yaani hamta amini.Ujio wa TL utaleta kimbuga kikubwa mno kwa Samia hasa Tundu atakapoanza zile rabsha zake za maneno ya kukwaza lkn ya kweli.
Tundu ni mtu aliyenyooka na muwasilishaji hoja zake kwa ukali huku akijiamini kupitiliza na huwa hajali.
Samia ajiandae kuitwa majina asiyoyatarajia.Haitashangaza Tundu akimpa jina la 'ma ushungi' huku akimtweza.Kumbukeni TL alimuita Magufuli dikteta uchwara tena mchana kweupe!
Kugawanyika kwa wana CCM ni bayana.Hakutakuwa na siri tena kwenye chama na Serikali jambo ambalo kina Tundu watazipata siri nyingi za sirini na kwazo ndizo zitawasaidia kumsurubu Samia.
2022 itakuwa chungu sana kwa Samia.
Mkwere alisema ni heri Silaa awe rais kuliko Tundu Lisu kuupata ubunge!!Lissu Ni habari nyingne
Atatulizwa staili ya kung'atwa na kupulizwa,Every thing is closely monitored๐ง๐๐ป๐ฑ๐ ๐น๐ถ๐๐๐ ๐ถ๐ ๐ฏ๐ฎ๐ฐ๐ธ 2022[emoji16]
Hatamuita jina baya bali ataangalia mapingufu yake kama ccM wanavyofanya..atampa jina zuri tu linaloendana na haiba na matendo yake.
..Lissu hajawahi kuita mtu jina lisiloendana na tabia na matendo ya mhusika.
..tarajia jina kama " malaika ," au " malkia. "
Kumbuka Yesu mwana wa Mungu alijua atauwawa lakini alikuja duniani kutukomboa!!!Maisha mafupi sana,ni heri angesalia huko.
Kitabu kurasa zimeisha..
Yote heri tu,kikubwa ni njema na kutimiza kusudi.Kumbuka Yesu mwana wa Mungu alijua atauwawa lakini alikuja duniani kutukomboa!!!