Huyo wakala wa mabeberu amefukuzwa huko Ulaya na hana jipya lolote la kumsumbua nalo Rais Samia. Aje tu agaragazweHuwa sikubaliani na wewe kwa mambo yote na kwa dharau zako sitarajii kukubaliana na wewe kwa lolote. Lakini...
...tambua Tundu anautaka u Rais wa Tanzania kwa gharama yeyote ile.
...tambua Tundu anarejea na MIKAKATI mahsusi ya namna ya kuiondoa CCM madarakani kutoka kwa wazungu na usifikiri wamewekeza kwa Tundu bure bali muda wote huo wameishi naye wakimuandaa ili aje kuchukua madaraka ili wao walichoki target iwe rahisi kukipata kwalo.
...tambua Tundu hawezi kamwe kuwa na huruma na mwana CCM/mtu yeyote aliyepo CCM kwa namna walivyomfanya.
...2022 ni mwaka mbaya sana kwa CCM kwa sababu kwanza tayari wao kwa wao wamegawanyika na wanatukanana waziwazi!
Tetemeko la nchi Lumumba wako chini ya uvungu wanachungulia...𝗧𝘂𝗻𝗱𝘂 𝗹𝗶𝘀𝘀𝘂 𝗶𝘀 𝗯𝗮𝗰𝗸 2022[emoji16]
.Huwa sikubaliani na wewe kwa mambo yote na kwa dharau zako sitarajii kukubaliana na wewe kwa lolote. Lakini...
...tambua Tundu anautaka u Rais wa Tanzania kwa gharama yeyote ile.
...tambua Tundu anarejea na MIKAKATI mahsusi ya namna ya kuiondoa CCM madarakani kutoka kwa wazungu na usifikiri wamewekeza kwa Tundu bure bali muda wote huo wameishi naye wakimuandaa ili aje kuchukua madaraka ili wao walichoki target iwe rahisi kukipata kwalo.
...tambua Tundu hawezi kamwe kuwa na huruma na mwana CCM/mtu yeyote aliyepo CCM kwa namna walivyomfanya.
...2022 ni mwaka mbaya sana kwa CCM kwa sababu kwanza tayari wao kwa wao wamegawanyika na wanatukanana waziwazi!
Kiukweli jamaa anatisha. Muhimu mitutu iwekwe chini wapambane kwa maneno tu....mm naogopa zaidi ujio wa Tundu kwa sababu sioni CCM ya kumkabili.
Jamaa anatisha!
Kiukweli jamaa anatisha. Muhimu mitutu iwekwe chini wapambane kwa maneno tu.
Si alikuwa Ubelgiji kutibiwa?Huwa sikubaliani na wewe kwa mambo yote na kwa dharau zako sitarajii kukubaliana na wewe kwa lolote. Lakini...
...tambua Tundu anautaka u Rais wa Tanzania kwa gharama yeyote ile.
...tambua Tundu anarejea na MIKAKATI mahsusi ya namna ya kuiondoa CCM madarakani kutoka kwa wazungu na usifikiri wamewekeza kwa Tundu bure bali muda wote huo wameishi naye wakimuandaa ili aje kuchukua madaraka ili wao walichoki target iwe rahisi kukipata kwalo.
...tambua Tundu hawezi kamwe kuwa na huruma na mwana CCM/mtu yeyote aliyepo CCM kwa namna walivyomfanya.
...2022 ni mwaka mbaya sana kwa CCM kwa sababu kwanza tayari wao kwa wao wamegawanyika na wanatukanana waziwazi!
Sidhani kama atamnanga kwa sababu hiyo. TL has been not personal. TL anamuatack mtu kwa matendo yake yanayoathiri jamii nzima ya watanzania. Uhusiano wa SSH kwenda kumuona akiwa anaumwa ni jambo la.kibinadamu ambalo hadi leo Tundu Lissu huwa anamshukuru Mama. Lakini linalokuja swala la haki na utawala bora TL anamkosoa mtu yeyote.TL atakuwa anajichimbia kaburi lake na kupotea kwenye ramani kama atamdhihaki Rais SSH.
Ikumbukwe Lissu aliposhambuliwa na risasi za kikundi cha akina Makonda, kisha kufanyiwa emergency treatment pale Dodoma Regional Hospital, alisadirishwa hadi Nairobi kwa matibabu.
Akiwa pale Agakhan hospital hakuna mwana CCM hata mmoja aliyethubutu kumtembelea pale hospitalini zaidi ya Makamu wa Rais wa wakati huo Samia Suluhu. Waliogopa kwa kuwa Magufuli hakutaka Lissu awe hai na hakutaka afarijiwe Wala kulipiwa matibabu.
Kama Lissu atamnanga Rais SSH kwa mdomo wake mchafu basi LAANA kubwa itampata kwa kukosa SHUKRANI
Kama mnadhani JPM alipoondoka aliondoka na dola, idanganyeni hiyo mifugo ya wazungu ijaribu!
Nchi lazima isonge mbele, na kusonga mbele ni application of physics tu. To move from one point to another, you have to apply the amount of force that’s necessary to overcome friction. Obviously, katika kufanya hivyo, all high-friction points zitachimbika na zingine kuharibika vibaya. Usipofanya hivyo, you remain in a stationary state. Nani anataka huo ujinga?
Hivi why Magu hakumchana Mom baada ya kwenda kumuona Lissu?Sidhani kama atamnanga kwa sababu hiyo. TL has been not personal. TL anamuatack mtu kwa matendo yake yanayoathiri jamii nzima ya watanzania. Uhusiano wa SSH kwenda kumuona akiwa anaumwa ni jambo la.kibinadamu ambalo hadi leo Tundu Lissu huwa anamshukuru Mama. Lakini linalokuja swala la haki na utawala bora TL anamkosoa mtu yeyote.
..Magufuli alikuwa hataki kabisa kuzungumzia suala la Lissu.Hivi why Magu hakumchana Mom baada ya kwenda kumuona Lissu?
Magu alikuwa mpuuzi sana, Pascal aliandika kuhusu wasiojulikana na alimaliza kila kitu..Magufuli alikuwa hataki kabisa kuzungumzia suala la Lissu.
..Nikajiuliza Magufuli mpenda sifa kwanini hakutaka kupata sifa ya kuwakamata walipojaribu kumuua Lissu?
..Au kwanini hakutaka kupata sifa ya kuwa kiongozi mwema aliyeokoa maisha ya Lissu?
Kwa mfano, Magufuli alimsaidia Ruge, lakini akaacha kumsaidia Lissu.
Yes, hadi 2030, vumilieni tu
Kweli Mkuu, inabidi tuvumilie tu hadi 2030
Lisu siyo shoga, ila kitu ambacho hawajui hawa K gang ni kwamba Lissu hadi kufanya huo uamuzi ameshajua nchi ipo salama kwa sasaYaani shoga aje atikise nchi?? Lissu kula kulala achukue nchi??? MACHADEMA kweli mnaota.
Alishindwa Magufuli Samia atamuweza?!
..tatizo Mama sifa ya UKATILI haitaki.
..sasa nyinyi watu wa dola safari itabidi mtulie makambini kwenu.