Chukua hii: 2022 ujio wa Tundu Lissu utaleta Kimbunga


Viongozi wa CDM waliposema wanataka nchi isitawalike ulikuwa dunia gani? Huko ndiyo kupenda amani na utawala wa sheria?
 
Wazee wastaafu wachagiza mbinu za kunusuru taifa :

Mizengo Pinda: Tuanze mchakato wa kuwa na Tume huru ya Uchaguzi

17 Dec 2021 — Binafsi napenda tupate katiba mpya ila inahitaji mchakato mrefu, tuanze na jambo muhimu ambalo utekelezaji wa kuwa na Tume huru, ...

https://www.mwananchi.co.tz › kitaifa
Pinda Katiba ipatikane kabla ya Rais mpya - Mwananchi


3 Oct 2014 — Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema atafurahi kuona mchakato mzima wa Katiba ukikamilika kabla rais mpya hajapatikana katika
 
Lisu rudi nyumbani Bro, tumezimiss zile "Hakuna rais wa ajabu kama Magufuli", narudia tena "Hakuna rais wa ajabu kama Magufuli", njoo Tundu tusaidiane kuwatoa hawa mafisadi ambao Magufuli aliwaweka kila mahali
Jemadari is a wounded Buffalo anatia timu Siasa zitakuwa tamu.

Magazeti yatanunuliwa sana Watu watakuwa hawatoki mbele ya TV set zao.
 
Wastaafu wazidi kuona wingu la mabadiliko likizidi kuifunika anga la kisiasa la Tanzania na kutaka hatua za haraka bila kuchelewa wala kuhadaa waTanzania ili kupokea mvua ya mabadiliko ktk hali njema

18 Dec 2021

Warioba alia na Katiba mpya pia Tume Huru vipatikane bila kuchelewa


Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Warioba ameibua upya mchakato wa mabadiliko ya Katiba katika mkutano wa Baraza la vyama vya siasa na wadau wa demokrasia uliomalizika jana Ijumaa Desemba 17,2021 jijini Dodoma. Katika mjadala uliokuwa ukiongozwa na Makamu mkuu mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandara, Jaji Warioba ameshauri pia suala la kupatikana kwa tume huru ya uchaguzi na mkutano ya vyama vya siasa kufanyiwa kazi haraka. “Kwanza ni mikutano ya vyama vya siasa. Rais ametoa mwelekeo, mimi nina hakika mkizungumza vizuri, hiyo tutamaliza.

Source : Mwananchi digital
 
Lisu hatomuweza samia

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Shida kubwa ya wagonjwa wa akili hukataa maradhi yao, hudhani ni wazima na wanazo akili that's is the biggest problem omba msaada kwa watu wako wa karibu wakushauri.
 
CCM hawajui siasa, siasa zao ziko polisi,kuteka wenzao, kupiga watu risasi ila Mama njia hizi hatapendelea kuzitumia sana katika utawala wake, isipokuwa atawekeza nguvu kubwa kuwapeleka jela wapinzani wake wa vyama pinzani.

Na hii ndio njia atakayoitumia kumunyamazisha Lissu, njia nyingine ambayo anaweza kuitumia kumunyamazisha Lissu lakini ambayo hata kuwa tayari kuitumia ni kukubaliana na madai ya Lissu ya kudai katiba mpya,tofauti na hapo kwenye uwanja huru hakuna CCM yeyote anayemuweza Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…