Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Kumtuhumu wife ni kosa kubwa sana. Wife ni sawa na mkono wako mwingine.wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo Leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, Leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui,
jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.
Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60
Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
kama mpo wawili na wewe hujachukua basi lazima mwingine kachukua. Naomba unielewe sijasema mkeo mwizi.wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo Leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, Leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui,
jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.
Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60
Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
Badilisha namna ya kuishi nae, mfanye awe involved zaidi au jifanye unamfanya yeye kuwa ndio mtunzaji mkuu ili uone mambo yatakavyoenda.Hawezi acha boss
Weka benki na jifunze kumtunza wife kama unamtunzaga hawezi iba ila ameiba kws maana hatunzi jwanza amesogeza . Ushamba tu unaweka ndani ya nyumba hela badala ya benki au ufungue kububu chamitandao uweke au ucheze ile ya nani zamu yangu .wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo Leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, Leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui,
jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.
Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60
Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
nimekuambia niliacha asubui jana 80k mkuu Leo nakuta 20kkama mpo wawili na wewe hujachukua basi lazima mwingine kachukua. Naomba unielewe sijasema mkeo mwizi.
me napita huku.........
hua naweka benk kila siku Leo ndo nilitaka kuipelekaWeka benki na jifunze kumtunza wife kama unamtunzaga hawezi iba ila ameiba kws maana hatunzi jwanza amesogeza . Ushamba tu unaweka ndani ya nyumba hela badala ya benki au ufungue kububu chamitandao uweke au ucheze ile ya nani zamu yangu .
sawaIla mkuu 60k ndiyo ufungulie uzi?
Nilitaka kukoment jambo hili mkuu...ahakikishe anampa my wife wake pesa ya kujikimu, sio lazima awe na shida ndio umpe hela, yawezekana kbs kamtumia mama yake ya matumizi.Basi ni yeye....uwe unampa pesa yake ya ziada ili asiendelee kudokoa
Kila baada ya mauzo tu unapeleka benki suo ukiona uvivu weka mpesahua naweka benk kila siku Leo ndo nilitaka kuipeleka
ni kweli sasa ni nani? maana anakataa kabisaNi mtu kaichua, kama sio yeye basi chunguza matumizi yako au mtu mwingine anaeingia hapo, ila haiwez potea bila kuchukuliwa na mtu.
nimetoka kumpa pesa juma 3 japo alisema haitosh kaenda shoppingNilitaka kukoment jambo hili mkuu...ahakikishe anampa my wife wake pesa ya kujikimu, sio lazima awe na shida ndio umpe hela, yawezekana kbs kamtumia mama yake ya matumizi.
nahisi hawa ni wezi kwa siri siriNiliwah pewa laki 1 na jamaa yangu usiku wa saa 5,kesho yake asubuh nacheki hela ipo elfu 40
Hawa watu sio
Kuna kipindi nilikuwa nae mbali,nikawa naenda kumchek mara moja kwa mwez,nilikuwa nikitaka kwenda nachukua pesa bila kuhesabu lakin cha ajabu siku natoka kwake nilkuwa najikuta naishiwa hela,yaan ile nataka kuondoka nimuachie hela najikuta hela ipo kidogo,inanibid tena nauli nitoe kwenye simu
Hawa watu sio
Nanukuu: ''ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi'': Nani akumbuke? Ulishatueleza tena juu ya wewe kuweka fedha kwenye ki-boksi ndiyo utuambie tukumbuke? Sahihi ungeandika angalau ''ifahamike.......'' Pili ujinga wa kuamini kuna kitu kinaitwa ''chuma ulete'' ni janga la taifa la Tanzania na inaonyesha jinsi wananchi wengi walivyo na uelewa mdogo na bado wanaishi enzi za mawe. Na wajanja wanatumia huo mwanya kuibiwa wajinga.wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo Leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, Leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui,
jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.
Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60
Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
Kwa vip mkuuHuwezi kula keki yako halafu ikawepo, unakuwa umeitafuna na imemeng'enywa. Ukumbuke mu mwili mmoja. Tafuta ingine.
Pole mkuu tafuta suluhu hata kwa wazazi wenu au watu wengine wa karibumambo ya ajabu sana nashuhudia kwa huyu mke toka nioe