Chumbani kwangu imepotea Tsh. 60,000 na ndani tupo wawili tu

Amechukua yeye acha uduanzi weka hela kwenye simu asijue password au benk mawakala si wapo wengi mtaani au wewe unaishi chaka gani?
hao watu hawaaminiki sikuhizi
 
Amechukua yeye acha uduanzi weka hela kwenye simu asijue password au benk mawakala si wapo wengi mtaani au wewe unaishi chaka gani?
hao watu hawaaminiki sikuhizi
Kama amechukua yeye naipataje?
 
aliwahi chukua elf 20 ya kanisani nilipomwagiza apeleke kumbe nilisha piga simu kanisani kuwambia adi kais nikakuta pungufu hiyo ila nilimbana akarudisha
Wanawake wengi sio waaminifu kwenye pesa!!ni kama Wana Pepo Fulani hivi!!wakiona pesa TU na matumizi wanaanza kupanga Hadi inaisha!!

Badili mbinu weka kwenye laini yako ya simu!!
 
 
aliwahi chukua elf 20 ya kanisani nilipomwagiza apeleke kumbe nilisha piga simu kanisani kuwambia adi kais nikakuta pungufu hiyo ila nilimbana akarudisha
Kumbe jibu unalo? kwa vyovyote atakuwa ni yeye amechukua, kuishi na Mtu ambaye siyo mwaminifu ni changamoto sana.
 
Mwanamke kuwa mwizi ni aibu asee!!!

Maana kama anaiba hela, ikitokea opportunity hata ku cheat anaweza.

Fukuza akakae kwao hata miezi 3
 
Hamna panya humo?Kama hamna ni huyo wife material!
 
Panya cheki ndani ya speaker au subwoofer nk sehemu ambazo panya wanaweza kuzaa ...swali nyumba unayo ishi kuna panya ? Je ulishika pesa na shombo ya chakula nk ?
 
Pole sana Mkuu

Kama ndani mpo wawili tu, inaonesha mwenzio ndiyo atakuwa suspect wa kwanza

Ila kuoa Mke mdokozi inarudisha nyuma familia nyingi, leo amechukua 60k yako

Siku nyingine akute una akiba ya milioni 2 ama 3 ndani, anaweza kubeba zote na kutokomea kusikojulikana

Jaribu wakati mwingine kumpatia fedha ya ziada kwaajili ya matumizi yake binafsi

Na hiki ndiyo huwa kisababishi kikubwa cha wake zetu kuanza kuchepuka wakati mwingine
 
Kulipa zaka kuna uhusiano gani na wewe kutoibwa??
 
Acha ulalamshi.Ulilewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…