Chumbani kwangu imepotea Tsh. 60,000 na ndani tupo wawili tu

aliwahi chukua elf 20 ya kanisani nilipomwagiza apeleke kumbe nilisha piga simu kanisani kuwambia adi kais nikakuta pungufu hiyo ila nilimbana akarudisha
Kumbe unajua kuwa mkeo ana tabia za udokozi. Why sasa unahoji pesa imekwenda wapi na yeye ndie alikuwa na access nazo kwenye chumba mnachoishi wawili tu.
 
Acha ubinafsi, mko wawili umekuta imepungua unamuuliza ya nini?
 
Ila mkuu 60k ndiyo ufungulie uzi?
Amesema ni hesabu yake ya wiki nzima kazini na ameitafuta kwa shida. Maisha yanatofautiana sana mkuu sio kila mtu ana hela ingawa JF kila mtu anajifanya ana hela.
 
Amesema ni hesabu yake ya wiki nzima kazini na ameitafuta kwa shida. Maisha yanatofautiana sana mkuu sio kila mtu ana hela ingawa JF kila mtu anajifanya ana hela.
hajui uchungu wa fedha uyo
 
hua nampatia mkuu
 
Jipe muda usichukue muamuzi ya kuharibu... Pengine alimwingiza michepuko wake hapo ndani akakwapua
 
aliwahi chukua elf 20 ya kanisani nilipomwagiza apeleke kumbe nilisha piga simu kanisani kuwambia adi kais nikakuta pungufu hiyo ila nilimbana akarudisha
Kumbe mwizi unaye.

Je huwa unampa pesa ya matumizi binafsi?
 
Vikoba vya kwenye mitandao vipo tena havina makato yoyote mnaendekeza vibubu vya vibox
 
Kama ni boxi la kuchongewa Lina kitu kimewekwa. Achana nalo
 
Tuliza kichwa kama amewahi kuchukua basi ni yeye kama hajawahi kuchukua basi sie
Usifanye hitimisho haraka tena shirikiana nae kutafuta usipoipata piga kimya endelea na maisha
Huu ndio ushauri wa mtu aliyekomaa kiakili
 
aliwahi chukua elf 20 ya kanisani nilipomwagiza apeleke kumbe nilisha piga simu kanisani kuwambia adi kais nikakuta pungufu hiyo ila nilimbana akarudisha
Kumbe mwizi unae hapo ila unatupa mtihani tuwe na dhana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…