Mutuyakongo
Member
- May 7, 2025
- 31
- 55
Umeoa mwizi, FULL STOP.!!Wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui.
Jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.
Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60.
Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
Kanisikitisha sana MkuuWe jamaa wa ajabu sana Dunia ya Leo una hifadhi pesa kwenye boxπ
60000 unakuja kufungua uzi. Unataka tukusaidie nnWakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui.
Jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.
Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60.
Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
Itakuwa chuma ulete hiyo imeanza kukunyemeleaππWakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui.
Jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.
Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60.
Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
Pole sana Mkuu, huenda mwenzio alipitiwa tu si unajua ishu za Vikoba, kuuguliwa na Wazazi/Ndugu zake n.khua nampatia mkuu
Huwa unampatia mkeo hela ya kwenda salon kusuka?Wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui.
Jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.
Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60.
Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
Kajazia na hiyo 60 sasa.juzi nilimpa akanunue nguo japo alisema haitosh
Mwizi ni mwizi tuWeka benki na jifunze kumtunza wife kama unamtunzaga hawezi iba ila ameiba kws maana hatunzi jwanza amesogeza . Ushamba tu unaweka ndani ya nyumba hela badala ya benki au ufungue kububu chamitandao uweke au ucheze ile ya nani zamu yangu .
wanawake sasa hivi ni weziKumtuhumu wife ni kosa kubwa sana. Wife ni sawa na mkono wako mwingine.
Kama mkono wa kulia unaweza kuuibia mkono wa kushoto huo mwili ni wa kukatwakatwa tuu.
Tengeneza mwili wako usijituhumu.
MIMI NILIWAHI KUPITEZA LAKI SITA KWENYE MAZINGIRA HAYA YA KWAKO NA NILIKUWA NIKO PEKE YANGU. AFADHALI WEWE UMEPOTEZA KIDOGO HUKU MKIWA MKO WAWILIWakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui.
Jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.
Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60.
Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
πππjf inafurahisha sanaWe jamaa wa ajabu sana Dunia ya Leo una hifadhi pesa kwenye boxπ
ππππna wanaume wa siku hizi lazima utarudisha pesa yake.Wife kibaka.
Ile jipe faraja kakuibia kuliko angeenda kudanga.
Maana kimboto cha elfu 60 sio cha kitoto, angechapwa kisawasawa.
Na wewe mtaim akiwa na hela yake ichukue , au akikuomba hela ya kwenda kusuka mpe halafu uiibe akikuuliza mwambie hujachukua halafu haumpi nyingineKama amechukua yeye naipataje?
Hapa tatizo ni kuficha hela. Sehemu ya kuweka hela lazima iwe yenu wawili.Atakuwa kachukua mkeo