Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rubbish.Hili popoma sijui likoje.
Jf watu wanaandika without fear or favour, Sasa huyu Mara mtanzania muhimu, uliye muona sio MTU muhimu Ni Nani?
Vitendo vinavyochukiza viko vingi vikiwemo kuondoa uhai wa MTU. Hakuna dhambi isiyo mchukiza Mungu.
Be frank bro.
nenda pale kwenye ghorofa mkabala na goig makonde stand utaliona tu wala halijajifichaMwanaume gani unakuwa muoga kunlock hapo ?
Huo mchezo mchafu una asili katika nche za kiarabu tangu kaleMmiliki wa Jengo hilo ( aliyewapangisha Wahanga wa Moto Mkubwa uliotokea ) ni Mzee Mwamba, ila anayekisimamia kwa sasa ni Mkewe Profesa Mwamba wa Chuo Kikuu fulani ambaye pia ni Rafiki wa Karibu mno na Mtanzania Muhimu ambaye hivi Karibuni tu amemfanya kuwa ni Mmoja wa Washauri wake Wakuu na kumpa Wadhifa fulani.
GENTAMYCINE niendelee Kuwapongeza Wabunge wa nchini Uganda kwa kuja na Muswada Maalum kuwa Watu wenye Mapenzi ya Jinsia Moja ( hasa Wanaume ) waitwao Mashoga wawe Wanafungwa Maisha au Wananyongwa kabisa.
Huwezi kufanya Jambo Baya au Kuyachafua Maandiko ya Mwenyezi Mungu halafu Laana yake isikupate na asikushushia Mabalaa makubwa ili kukupa Ujumbe kuwa unachokifanya ni kibaya japo unajifanya ni Mcha Mungu hasa.
Na Mtanzania Muhimu sana anawalinda wenye Chuo / Taasisi kwakuwa ni Yeye ndiyo amewakaribisha nchini halafu ni Mwenzao Kiimani na anakula nao kwani Taasisi hiyo iko nyuma ya Tajiri fulani ch a wa Falme za Kiarabu ambaye yuko mbioni kuja Kuwekeza nchini uo mTanzania hasa katika Mkoa wa Dar es Salaam na kwamba tayari ameshajipatia maeneo mengi ( Ardhi ) nchini ili aendelee na Miradi yake huku akieneza Michezo michafu kwa Vijana na Wanaume wa Dini yao.
Ni ile dhambi ambayo hata shetani anaigopa.Sio lazima utafuniweMh dhambi kuu isiyondeza Mungu ni dhambi gani 😄 🤣
Getini unaulizwa jina au lazima uonyeshe kitambulisho1. Mkristo hatakiwi hata Kufunguliwa Geti Kuingia
Mmiliki wa Jengo hilo ( aliyewapangisha Wahanga wa Moto Mkubwa uliotokea ) ni Mzee Mwamba, ila anayekisimamia kwa sasa ni Mkewe Profesa Mwamba wa Chuo Kikuu fulani ambaye pia ni Rafiki wa Karibu mno na Mtanzania Muhimu ambaye hivi Karibuni tu amemfanya kuwa ni Mmoja wa Washauri wake Wakuu na kumpa Wadhifa fulani.
GENTAMYCINE niendelee Kuwapongeza Wabunge wa nchini Uganda kwa kuja na Muswada Maalum kuwa Watu wenye Mapenzi ya Jinsia Moja ( hasa Wanaume ) waitwao Mashoga wawe Wanafungwa Maisha au Wananyongwa kabisa.
Huwezi kufanya Jambo Baya au Kuyachafua Maandiko ya Mwenyezi Mungu halafu Laana yake isikupate na asikushushia Mabalaa makubwa ili kukupa Ujumbe kuwa unachokifanya ni kibaya japo unajifanya ni Mcha Mungu hasa.
Na Mtanzania Muhimu sana anawalinda wenye Chuo / Taasisi kwakuwa ni Yeye ndiyo amewakaribisha nchini halafu ni Mwenzao Kiimani na anakula nao kwani Taasisi hiyo iko nyuma ya Tajiri fulani Umoja wa Falme za Kiarabu ambaye yuko mbioni kuja Kuwekeza nchini Tanzania hasa katika Mkoa wa Dar es Salaam na kwamba tayari ameshajipatia maeneo mengi ( Ardhi ) nchini ili aendelee na Miradi yake huku akieneza Michezo michafu kwa Vijana na Wanaume wa Dini
nilivyomcheki tu nikajua huyu hatoboi zenji au tanga 😂😂Ndyoo ni askari wa Zanzibar.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Codes ni nyepesi mnooo yaan mnooo.
Kuhusu suala la ushoga hakuna kiongozi atakae thubutuu kutangaza wazi wazi kuwa ni illegal hapa nchini, hata aje mafia kiasi gani hawezi kamweee.
Nafikiri waanze kurekebisha vifungu vya sheria ktk katiba, na pia kwenye suala la haki za binadamu wakatafakari kwa kina kipi waishi nacho, pia misaada na mikopo je masharti yake ni sahihi kwa mustakabali wa nchi.
Kuna kiongozi mstaafu aliwahi sema "ukitaka kula sharti uliwe"
Mwenye masikio na asikie, mwenye macho na aone.
Khalhaghabhao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
More than Serious. Nimewahi kuishi Mtaa wa Pili tu nyuma ya hicho Chuo ( Taasisi hiyo ) na bado nina Ndugu zangu wanaishi Jirani na Jengo hilo nyumba Jirani na aliyekuwa Chief Secretary Balozi Ombeni Sefue.Are you serious Mkuu?
Vifungu gani vya sheria vinahalalisha ushoga? Kwa Tz ushoga hauruhusiwi ,wewe endelea kupakuliwa gizani na tabia za kigasho ukiziweka wazi lazima udakwe na manjagu...Kama kusambaza picha tu za ngono hairuhusiwi vipi kuhusu ujitangaze unapakuliwa?
Mh Rais ameshaweka wazi hayo maadili ya kishenzi yabaki hukohuko kwao(majuu) kama kuiga tuige mambo mazuri tu ,kitendo cha Mh SSh kutamka hayo ni wazi kama hakubaliani ,unavyosema anatamka majukwaani hivi ulitaka akatamkie chumbani?
Mikopo tunayokopa haina masharti ya kwamba lazima usupport ushoga ,wana vigezo vyao vingine na ndio maana tunalipa madeni...Tunakopa hadi china je na wao wanatuambia tu support ushoga?
Acheni ujinga kama mnafanya ufirauni wenu wa kupakuliwa ,fanyeni gizani huko huko na si kututangazia na kushabikiashabikia.
Cc: Bushmamy
Kashafukuzwa kazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilivyomcheki tu nikajua huyu hatoboi zenji au tanga [emoji23][emoji23]
Sina mda wa kukujibu povuuu lakoooo. Hizi kelele za kwa keyboard tumeshazoea.Vifungu gani vya sheria vinahalalisha ushoga? Kwa Tz ushoga hauruhusiwi ,wewe endelea kupakuliwa gizani na tabia za kigasho ukiziweka wazi lazima udakwe na manjagu...Kama kusambaza picha tu za ngono hairuhusiwi vipi kuhusu ujitangaze unapakuliwa?