Chuo Kikuu cha Iringa chawafukuza wanafunzi zaidi ya 50 kwa kudukua Mfumo wa Malipo ya Ada

Chuo Kikuu cha Iringa chawafukuza wanafunzi zaidi ya 50 kwa kudukua Mfumo wa Malipo ya Ada

Huu ujinga nilikuwa nafanya olevel kupitia bank ya nmb. Nilikuja kuacha baada ya jamaa we wengine kudakwa na kutimuliwa shule. NIliogoba kitendo kilichofanya nilikuwa na stress za kudakwa had namaliza shule. Nilikuja kupumua siku nimekabidhiwa cheti

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
 
Kwanini wasiwape Distinction kwa Kazi nzuri ya IT (kuweza kudukua mfumo wa Taasisi ambayo ni so called inafundisha mfumo ambao unaonyesha jinsi ya kujikinga na mambo kama haya)...

Wawape Distinction for a Job well Done na sababu wameshikwa basi walipe na ikibidi hata walipe fine kwa kushikwa na fundisho kwa wengine wasijaribu - Ila kama ni kufukuzwa na Chuo kijifukuze
Hao ni wahalifu,hakuna nchi duniani inalea uhalifu,nioneshe ni mhalifu yupi alipewa kazi baada ya kuiba,na unqfundisha kitu gani kwa watoto?? Kuwa ukitaka kazi jaribu kwanza kuiibia tasisi then itakuajiri??
 
Nani kasema wapewe ajira ?, Nimesema wapewe distinction kama unafundisha kuongelea alafu mtu akaongelea kushinda wewe mwalimu, hata kama alivunja sheria wakati anaanza haiondoi umahili wako katika kuongelea...

Sasa Taasisi ya IT inapodukuliwa kwa mfumo wa IT na wadau inaowafundisha mambo ya IT pamoja na mengine yote inabidi Chuo kitambue uelewa wao; alafu hayo mengine ya wizi kuna sheria na mahakama husika zinazoweza kufuatilia...
 
Back
Top Bottom