Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 5,962
- 17,648
Apewe PhD for what??Samia anatakiwa apewe phd na hata full professor tittle kutoka vyuo vikuu vyote Tanzania ambavyo wiko zaidi ya 30. Wampe hizo phd kadri anavyotaka, wampe tu za kutosha, wampe hata phd tatu tatu kila chuo.
Inatakiwa kila ndaki ama college ya chuo impe samia phd, mfano UD tuanze na udbs, coet na kadhalika wampe phd same na kwa vyuo vyote.
Maprofesa njaa unategemea watafanya nini zaidi ya hicho?