Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Utashangaa CHADEMA wananuna na kuona wivu .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wako kwenye mision ya kujikombaWampe pia shahada ya kufumbia macho mambo sensitive na kuhangaika na yale yasiyo na tija.
Kuna watawala ambao kuwepo kwao na kutokuwepo ni sawa tu. Hawa walioongia madarakani by default.Wako kwenye mision ya kujikomba
Nijikombe Ili nivumbue nini? Wanaojikomba Huwa wanafika mahala wanachoka,Niko hapa Toka 2021 Hadi Leo naendelea Hadi Samia atakapoishia.Wewe ndio mjinga zaidi ya kujikomba kuna lingine unajua hebu niambie unacho kijua nje ya kujikomba komba.
Kuwa na akili basi,nimekujibu kwamba mradi alioasisi Samia wa HEET una time frame,kama una majibu Yako kichwani Baki nayo.hujajibu swali langu kwanza
nakuuliza hichi unanijibu kile uko sawa?
wajinga nchi hii ndio mtaji wa CCM na CCM haiko tiyali kuona hata raia wanaamkaNijikombe Ili nivumbue nini? Wanaojikomba Huwa wanafika mahala wanachoka,Niko hapa Toka 2021 Hadi Leo naendelea Hadi Samia atakapoishia.
Punguza upumbavu na chuki
Unaposema hakuna anaejali una maanisha nini? Je Serikali inagawa hela?Raia wanapigana na umasikini mkubwa sana, juzi nilikuwa janda ya Ziwa, Mara, SImiyu na Shinyanga, kule Mara kuna Umasikini wa kutisha kabisa wa kuuona kwa macho, ila hakuna anaye jali. Kuna umasikini mkubwa wa vipato kule.
Nenda kule Musoma Vijijini hadi kwa Baba wa Taifa Butiama kuna Poverty sana now day.
Kilimo cha pamba ndicho walikuwa wanategemea ila kimekufa na hakuna dalili za kufufua tena, raia wamebakia masikini. CCM kutwa nzima wanaenda na Project za vitu kule.
Hawa wajinga wanacho jua ni propaganda za majengo,
We chawa una majibu ya kiburi .Unaposema hakuna anaejali una maanisha nini? Je Serikali inagawa hela?
Jibu swali,unaposema unaona umaskini Kwa macho then unasema hakuna anaejali unamaanisha nini?We chawa una majibu ya kiburi .
Uzuri ni kwamba mwisho wenu umekaribia .
Chuo Kikuu Mzumbe kinatarajia Kumtunuku Rais Samia Shahada ya Udakatri wa Heshima katika Uongozi wa Chuo kama ishara ya kutambua jitihada zake katika kuboresha Elimu ya Juu Nchini hasa miundombinu,Utafiti na kuongeza idadi ya udahili.
Hiyo itakuwa ni Shahada ya 5 Kwa Rais Samia na Shahada ya 1 kutolewa na Chuo Kikuu Mzumbe.
Ikumbukwe Rais Samia ni alumni wa Mzumbe Hongera Rais Samia,jitihada zako zitambuliwe Sasa Ukiwa hai na Kila mtu anaona.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DCvjacQtUGw/?igsh=dnc4ZXRmN3drN2c=
View: https://youtu.be/TrtUv3f9Vqw?si=AL1WHw-cSlXDFJ62
My Take
Hata hili Chadema watapinga ila Sasa data za takwimu zinawakataa.
Mfano mzuri ni mradi huu wa kupanua Elimu ya Juu Nchini ambapo taasisi 23 za Elimu ya Juu zinaendelea na kazi ya Ujenzi wa Miundombinu ya Kujifunzia.
Aidha Mikoa 15 ambayo hakikuwahi kuwa na Vyuo Vikuu au Matawi ujenzi unaendelea.Hii ni kazi ya Kutukuka ya Rais Samia. Haya yote yanatokea Chini ya Samia 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DCr7oyLOtS4/?igsh=MWF5NWIzNHVhcm1mOQ==
Wait nikuoneshe muda yalipoanza kujengwa ,sikiliza hapa👇👇
View: https://youtu.be/ZD6acdFiM7o?si=S8aeBGHzeR6NLxCl
Wewe mbona hujasema unachojua? 🤣🤣Hakuna ujuacho!
Yani kaniudhi😒😒 hakuna anachoelewa, anafikiri yameanza kujengwa 2023😏😏na aseme yalitakiwa kuisha kwa muda gani?
sio kupiga porojo tu