milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Sijafika ,nielewesha . Unabebwa hubebeki serikalini ujueSina hakika kama Chuo umefika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijafika ,nielewesha . Unabebwa hubebeki serikalini ujueSina hakika kama Chuo umefika
Aliyekwambia Niko Serikalini ni nani? 🚮🚮Sijafika ,nielewesha . Unabebwa hubebeki serikalini ujue
Ninakufahamu 100%Aliyekwambia Niko Serikalini ni nani? 🚮🚮
Umaskini kuondolewa jukumu la kwanza linawahusu wenyeji wa mahali husika. Ni miaka ya karibuni tunaiona michango ya aina nyingi kwenye makundi ya whatsapp inayojikita katika ujenzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo.Raia wanapigana na umasikini mkubwa sana, juzi nilikuwa janda ya Ziwa, Mara, SImiyu na Shinyanga, kule Mara kuna Umasikini wa kutisha kabisa wa kuuona kwa macho, ila hakuna anaye jali. Kuna umasikini mkubwa wa vipato kule.
Nenda kule Musoma Vijijini hadi kwa Baba wa Taifa Butiama kuna Poverty sana now day.
Kilimo cha pamba ndicho walikuwa wanategemea ila kimekufa na hakuna dalili za kufufua tena, raia wamebakia masikini. CCM kutwa nzima wanaenda na Project za vitu kule.
Hawa wajinga wanacho jua ni propaganda za majengo,
Tunashauri hata jina la chuo hicho libadilishwe, Kiitwe SamiaHawa ilikuwa bado hawajafanya hivyo??
Mara nyingi sana unaandikaga uongoWala siandiki mada ambayo Sina facts au ushahidi.
Kama upi?Mara nyingi sana unaandikaga uongo
Vyuo vinaajiri lakini kunakua na muwakilishi kutoka PSRS. Mfano TRA huwa wanaajiri wenyewe, polisi huwa wanaajiri wenyewe lakini huwezi kusema serikali haijaajiri Ila polisi ndio imeaajiri.Vyuo vinaajiri wao wenyewe na sio Serikali,hayo uliyoandika ni hisia zako binafsi,jikite kwenye mada
Kila siku mengi unaandika ni uongoKama upi?
Wewe ni mwehu kweli ,Mikoa ifuatayo haijawahi kuwa na Chuo Kikuu au Tawi la Chuo Cha Umma au taasisi ya Elimu ya Juu ya Serikali 👇👇Kila siku mengi unaandika ni uongo
Mfano Leo umesema Kuna mikoa 15 haikua na chuo kikuu, taja hiyo mikoa
Haya si mambo ya kubishana bali ni facts. Kwanza mwanza na kigoma umerudia mara mbili mbili pili umerudia tena kuandika uongo kwa confidence.Wewe ni mwehu kweli ,Mikoa ifuatayo haijawahi kuwa na Chuo Kikuu au Tawi la Chuo Cha Umma au taasisi ya Elimu ya Juu ya Serikali 👇👇
-Rukwa
-Njombe
-Kigoma
-Ruvuma
-Simiyu
-Lindi
-Kigoma
-Songwe
-Mtwara
-Kagera
-Singida
-Tabora
-Mwanza
-Tanga
-Manyara
-Mwanza
Wewe ni mpuuzi unapendaga sana Ligi za kijinga na ujuaji mavi.Hoja yangu inahusi public Universities na Higher education Institutions na sio Vyuo vya Private.Haya si mambo ya kubishana bali ni facts. Kwanza mwanza na kigoma umerudia mara mbili mbili pili umerudia tena kuandika uongo kwa confidence.
Wewe ulisema mikoa ambayo haina universities, hapa unasema universities za umma tu. Kwani zikiwa private sio universities?? Na Kama lengo ilikua ni kumaanisha vyuo vya umma tu usingesema"mikoa ambayo haina vyuo vikuu", ungesema mikoa ambayo haina vyuo vikuu vya umma(of which sio kama ni big deal)
Pili, nikuulize open University unaiweka kwenye kundi gani? Maana hiyo mikoa Kuna open University
Kwa hiyo kama hajui?Samia hajui hata kuongea coherently.
Hajui hata tofauti ya evacuation na eviction.