Apewe PhD for what??
 
Sababu ziko Bilioni,ona hapa πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/gkPAamJvUGM?si=nb5_hLInXBtODeho
Jiulize kwa nini vyuo vikuu vya China au India haviwatunuku viongozi wao shahada za heshima? India mwakani inaipiku Japana na kuwa Taifa la Tatu lenye uchumi mkubwa Duniki ila hayujawahi sikia Chuo kikuu chochote India kina mtunuku Wazori mkuu wa India.

Hayo majengo ndio maendeleo? Nchi hii imejaaa wajinga sana, nenda vijijini uone majengo ya Madarasa
 
Umewahi fuatilia ukakuta haviwatunuku au unaropoka tuu?
 
Mambo ya kuisha unategemea pesa,nimeshamjibu mwenzio hapo Juu,Mimi najua sifanyi propaganda Wala siandiki mada ambayo Sina facts au ushahidi.
Unafanya nini? Vipi picha za raia wanao shinda njaa, hawawezi mudu ghrama za matibabu kwenye hospitali za umma tunazipataje? au tuna dili na picha za majengo?

Majengo kwani wakoloni hawakujenga? Jiji la Cape town limejengwa na wakoloni na ni moja ya jiji bora Ulimwenguni, wadanganyeni wajinga wa hili taifa na propaganda hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…