Tetesi: Clatous Chotas Chama anaidai Yanga Mamilion ya pesa

Tetesi: Clatous Chotas Chama anaidai Yanga Mamilion ya pesa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Naamini kabisa kuna watu wanafanya biashara kupitia hawa wachezaji. Chama huyu ndo alisajiliwa kwa zaidi ya Million 500? Kuna mambo yanaumiza sana wapenda mpira. Watu waliungiza Uongozi chaka.

Screenshot_2025-02-13-08-03-14-488_com.instagram.android.jpg
 
Tapeli ni yule mhindi wenu anayewalipa wafanyakazi wake laki mbili mbili kwa mwezi uku wakifanya kazi kubwa!
Hao wanaomba wenyewe kazi na wanajua mapema kabisa kuwa malipo ni kiasi hicho
 
Back
Top Bottom