mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Msiwafumbuwe macho kwani wajinga ndio waliwao.Kuna Mchezo Wa Wizi Yanga, Mzee Magoma Apewe Timu Haraka Kabla Mambo Hajaharibika Kabisa. Millions 500 Za Tanzania Hii Hii, Majizi Yapo Ndugu Zangu