Tetesi: Clatous Chotas Chama anaidai Yanga Mamilion ya pesa

Tetesi: Clatous Chotas Chama anaidai Yanga Mamilion ya pesa

Kwa wachezaji hao hao wa milioni 2 TUNAONGOZA LIGI, TUPO HATUA YA ROBO FAINALI KWENYE MICHUANO YA CAF.

Kupitia huyo huyo muhindi SISI NI TIMU NAMBA 6 KWA UBORA AFRIKA.

Kimataifa umetolewa haushiriki michuano yoyote kwenye ligi unapambana usishuke daraja.

Haahaahaahaah
Pigaaa utosini bado panadunda dunda...
 
Naamini kabisa kuna watu wanafanya biashara kupitia hawa wachezaji. Chama huyu ndo alisajiliwa kwa zaidi ya Million 500? Kuna mambo yanaumiza sana wapenda mpira. Watu waliungiza Uongozi chaka.

View attachment 3234884
Kama hii taarifa ni ya kweli, basi utapeli umeingia na kwenye klabu ya Yanga! Haya mambo tulizoea kuyaona kwenye klabu ya Simba! Kwa upande wangu kama ningekuwa kiongozi wa Yanga, nisingemsajili kama Chama hata bila ya malipo. Maana ameshajichokea!
 
Usajili wa Chama ilikuwa ni siasa za Simba na Yanga tu lakini halikuwa hitaji la bench la ufundi, kwa sababu hata Simba kwenyewe alishaanza kusugulishwa benchi.
 
Kamuulize yeye
Kwani nimekuuliza kenge???(
Kama hii taarifa ni ya kweli, basi utapeli umeingia na kwenye klabu ya Yanga! Haya mambo tulizoea kuyaona kwenye klabu ya Simba! Kwa upande wangu kama ningekuwa kiongozi wa Yanga, nisingemsajili kama Chama hata bila ya malipo. Maana ameshajichokea!
Acha unafiki wewe... Huyu kiungo konokono(kojokojo) mbona uto mmemtaka muda sana.... Hata kabla hajaanza kucheza simba utopox mlimtaka na kumtukana. ILA UKWELI USEMWE KATIKA WACHEZAJI BORA KUTOKA NJE YA TANGANYIKA WALIOWAHI KUCHEZA HII LIGI YA KITOPOLO NI Okwi, Chama na kipa Yao Berko..., Nisiwe mnafiki.....
 
Hela wanazochezea yanga kwa kusajili vibovu kwa hela nyingi, wangezipata Tp mazembe ama Enyimba wangeenda kubeba ndoo ya caf champions league kwa mara nyingine

Bajeti ya Yanga ni kubwa sana ila hela hizo zinaliwa na magarasa kibao
 
Back
Top Bottom