Tetesi: Clatous Chotas Chama anaidai Yanga Mamilion ya pesa

Tapeli ni yule mhindi wenu anayewalipa wafanyakazi wake laki mbili mbili kwa mwezi uku wakifanya kazi kubwa!
Bora yeye anawajali kwa laki 2. Yule mwarabu Koko wenu wafanyakazi wanauza magodoro na hawapewi chochote
Na Zaid huku kwa wachezaji ndio kabisa, mmempa Aziz ki mabilioni ila anayutumia kutombea wadada wa mjini, chama okra baleke wote wabadai mabilioni kutoka kwa nyinyi matapeli mkiongozwa na tapeli mkuu mliembebaga kwenye kiti injinia wa mchongo hersi, Bado ya ikangalombo yanakuja naskia ameondoka mana pesa hamujampa , wezi wakubwa nyie ...
 
Naamini kabisa kuna watu wanafanya biashara kupitia hawa wachezaji. Chama huyu ndo alisajiliwa kwa zaidi ya Million 500? Kuna mambo yanaumiza sana wapenda mpira. Watu waliungiza Uongozi chaka.

View attachment 3234884
Kawaida ya MASIKINI upenda umbea, uchawa, kimbelembele, uongo, utapeli na uchizi kufuatilia mambo yasiyo wahusu!
 
Bora yeye anawajali kwa laki 2. Yule mwarabu Koko wenu wafanyakazi wanauza magodoro na hawapewi chochote
Na Zaid huku kwa wachezaji ndio kabisa, mmempa Aziz ki mabilioni ila anayutumia kutombea wadada wa mjini, chama okra baleke wote wabadai mabilioni kutoka kwa nyinyi matapeli mkiongozwa na tapeli mkuu mliembebaga kwenye kiti injinia wa mchongo hersi, Bado ya ikangalombo yanakuja naskia ameondoka mana pesa hamujampa , wezi wakubwa nyie ...
Unampangia mtu matumizi ya pesa zake au unataka wewe ndio uchukue nafasi ya mobeto? Tokea lini mhindi akaendesha timu na ikapata mafanikio zaidi ya kusajili wachezaji wa milioni mbili mbili kina mutale!
 
Kwamba msela anaumia Mobote kupigwa miti na Aziz ki?
Hakika huko Dar wanaume wamebaki wachache
 
Tapeli ni yule mhindi wenu anayewalipa wafanyakazi wake laki mbili mbili kwa mwezi uku wakifanya kazi kubwa!
Mshahara ni makubaliano kati ya muajiri na muajiriwa, so tunamtaka TAPELI ALIYEKUBUHU HERSI AMLIPE CHAMA HELA ZAKE MILIONI 200 HARAKA IWEZEKANAVYO.
 
Unampangia mtu matumizi ya pesa zake au unataka wewe ndio uchukue nafasi ya mobeto? Tokea lini mhindi akaendesha timu na ikapata mafanikio zaidi ya kusajili wachezaji wa milioni mbili mbili kina mutale!
Kwa wachezaji hao hao wa milioni 2 TUNAONGOZA LIGI, TUPO HATUA YA ROBO FAINALI KWENYE MICHUANO YA CAF.

Kupitia huyo huyo muhindi SISI NI TIMU NAMBA 6 KWA UBORA AFRIKA.

Kimataifa umetolewa haushiriki michuano yoyote kwenye ligi unapambana usishuke daraja.

Haahaahaahaah
 
CHAMA usikubali kutapeliwa na haya matapeli ya nyuma mwiko yalikubuhu kwenye utapeli nenda FIFA ukawashitaki wakulipe hela yako wezi wakubwa hawa.

Yule mkongomani jonathani mkaliamboo na yeye wamemtapeli kagoma kucheza anataka hela zake.

YANGA NI TIMU YA MATAPELI NA WEZI.
 
Kwamba msela anaumia Mobote kupigwa miti na Aziz ki?
Hakika huko Dar wanaume wamebaki wachache
Ndio namshangaa aisee,,pesa za mwingine but matumizi anataka ampangie,,akili za kimangungu hizi ni shida!
 
Kwa wachezaji hao hao wa milioni 2 TUNAONGOZA LIGI, TUPO HATUA YA ROBO FAINALI KWENYE MICHUANO YA CAF.

Kupitia huyo huyo muhindi SISI NI TIMU NAMBA 6 KWA UBORA AFRIKA.

Kimataifa umetolewa haushiriki michuano yoyote kwenye ligi unapambana usishuke daraja.

Haahaahaahaah
Sema hatua ya robo kwenye michuano ya kahawa cup mbona usemi,,
 
Back
Top Bottom