Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Anacheza mpiraMkude anafanya kazi gani pale yanga??
Nawaza nini kilimsukuma kulazimisha Chama aje kwa dau kubwa kama hilo.Utapeli upo
Eng Hersi hapa alizingua
Mbona sijamuona hata mechi Moja.Anacheza mpira
Bora hata Mkude hela yake unaweza ukafumba macho ukamlipa mambo yakaishaMkude anafanya kazi gani pale yanga??
Alijichanganya akamleta huyo tapeli chamaNawaza nini kilimsukuma kulazimisha Chama aje kwa dau kubwa kama hilo.
Tapeli ni yule mhindi wenu anayewalipa wafanyakazi wake laki mbili mbili kwa mwezi uku wakifanya kazi kubwa!Hersi ni tapeli aliyekubuhu, wanayanga msikubali andamaneni.
Anauza machungwaMkude anafanya kazi gani pale yanga??
Ili waikomoe Simba kijukuu cha mtume...Nawaza nini kilimsukuma kulazimisha Chama aje kwa dau kubwa kama hilo.
Tapeli ni yule mhindi wenu anayewalipa wafanyakazi wake laki mbili mbili kwa mwezi uku wakifanya kazi kubwa!
Hao wanaomba wenyewe kazi na wanajua mapema kabisa kuwa malipo ni kiasi hichoTapeli ni yule mhindi wenu anayewalipa wafanyakazi wake laki mbili mbili kwa mwezi uku wakifanya kazi kubwa!
Nakazia 🔨Yanga ni kijiwe cha madalali....na wezi
Nenda mazoezini utamwonaMbona sijamuona hata mechi Moja.