Tetesi: Clatous Chotas Chama anaidai Yanga Mamilion ya pesa

Pigaaa utosini bado panadunda dunda...
 
Naamini kabisa kuna watu wanafanya biashara kupitia hawa wachezaji. Chama huyu ndo alisajiliwa kwa zaidi ya Million 500? Kuna mambo yanaumiza sana wapenda mpira. Watu waliungiza Uongozi chaka.

View attachment 3234884
Kama hii taarifa ni ya kweli, basi utapeli umeingia na kwenye klabu ya Yanga! Haya mambo tulizoea kuyaona kwenye klabu ya Simba! Kwa upande wangu kama ningekuwa kiongozi wa Yanga, nisingemsajili kama Chama hata bila ya malipo. Maana ameshajichokea!
 
Usajili wa Chama ilikuwa ni siasa za Simba na Yanga tu lakini halikuwa hitaji la bench la ufundi, kwa sababu hata Simba kwenyewe alishaanza kusugulishwa benchi.
 
Kamuulize yeye
Kwani nimekuuliza kenge???(
Kama hii taarifa ni ya kweli, basi utapeli umeingia na kwenye klabu ya Yanga! Haya mambo tulizoea kuyaona kwenye klabu ya Simba! Kwa upande wangu kama ningekuwa kiongozi wa Yanga, nisingemsajili kama Chama hata bila ya malipo. Maana ameshajichokea!
Acha unafiki wewe... Huyu kiungo konokono(kojokojo) mbona uto mmemtaka muda sana.... Hata kabla hajaanza kucheza simba utopox mlimtaka na kumtukana. ILA UKWELI USEMWE KATIKA WACHEZAJI BORA KUTOKA NJE YA TANGANYIKA WALIOWAHI KUCHEZA HII LIGI YA KITOPOLO NI Okwi, Chama na kipa Yao Berko..., Nisiwe mnafiki.....
 
Hela wanazochezea yanga kwa kusajili vibovu kwa hela nyingi, wangezipata Tp mazembe ama Enyimba wangeenda kubeba ndoo ya caf champions league kwa mara nyingine

Bajeti ya Yanga ni kubwa sana ila hela hizo zinaliwa na magarasa kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…