Tetesi: Clatous Chotas Chama anaidai Yanga Mamilion ya pesa

Kuna Mchezo Wa Wizi Yanga, Mzee Magoma Apewe Timu Haraka Kabla Mambo Hajaharibika Kabisa. Millions 500 Za Tanzania Hii Hii, Majizi Yapo Ndugu Zangu
Msiwafumbuwe macho kwani wajinga ndio waliwao.
 
Naamini kabisa kuna watu wanafanya biashara kupitia hawa wachezaji. Chama huyu ndo alisajiliwa kwa zaidi ya Million 500? Kuna mambo yanaumiza sana wapenda mpira. Watu waliungiza Uongozi chaka.

View attachment 3234884
Pesa za wanaume wenzako zinakuumia nini, wewe bakia kama shabiki pesa za usajili waachie viongozi mkuu
 
Jonathani nanivile hebu ongeza sauti.๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜ญ
 
Pesa za wanaume wenzako zinakuumia nini, wewe bakia kama shabiki pesa za usajili waachie viongozi mkuu
Mimi sidhani kama nina lengo la kumwaribia mtu wako kisha nawe ukakosa. Najua nyie jinsia yenu huwa ilimradi mnahongwa tu basi mnakiwa very loyal. Anyway.....akufungulie saluni sasa au duka la nguo.
 
Mimi sidhani kama nina lengo la kumwaribia mtu wako kisha nawe ukakosa. Najua nyie jinsia yenu huwa ilimradi mnahongwa tu basi mnakiwa very loyal. Anyway.....akufungulie saluni sasa au duka la nguo.
Duh! Kumbe chizi๐Ÿฆพ๐Ÿคฃ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ