DOKEZO Clinic ya Marie Stopes Mwanza inatoa huduma za utoaji mimba (abortion)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwa hiyo hakuna haja ya kuripoti huu uvunjaji wa sheria?
 
una ushahidiiii??? kwani unadhani shida ni kureport... ukiambiwa leta document na watu waliofanyiwa utaleta?? heshimu ofisi na taasisi za watu.
Kwa hiyo kama huna ushahidi wa uhalifu hutakiwi kuripoti? Ni jukumu la kila mwananchi kuripoti uhalifu ambao umeuona; suala la kukusanya ushahidi zaidi ni suala la mamlaka husika.
Mimi nimetimiza wajibu wangu.
 
Mabeberu hao kina Bill gates foundation ndio wanatoa sponsorship ya kufa mtu kwenye taasisi kama hizo, ni mounga mrefu sana
 
Unaijua dhambi kweli hiyo serikali yako ilyokuwa madarakan inanuka dhambi mbona hujawahi kusema kama kila dhambi inayofanywa na taasisi unaisemea
 
Nchi gani wakati hao viongozi wa nchi ndio wanaongoza kuwa na dhambi wanaiba kura na wizi katika dini haurusii je vipi unakubali kuongozwa na watu waliongia madarakani kwa dhambi ikiwa ww hupendi dhambi
Sasa unaanza kuongelea mambo ambayo sina control nayo. Angalau hili lla kuripoti nina control nalo, ndio maana nimeripoti.
 
Reactions: Cyb
Hizo lawama tusiwape Marie stopes, wapeni wanao kuja kutoa mimba na wanao wapa mimba maana wanaogopa kuzaa mtoto atatunzwa na nani ?.
 
mpendwa hebu ingia tu hata google uwatafute marie stopes uone kazi zao wanazofanya, so hata serikali inajua wanafanya nini, kwako ni uvunjaji wa sheria lkn wao wana kibali cha kufanya kazi nchini na katika kazi zao abortion ni mojawapo
Kwangu?
Hizo ni sheria za nchi, sio sheria zangu. Nchi ndo imeamua kuwa utoaji mimba ni illegal.
Kuhusu hilo, angalia website ya Marie Stopes Tanzania Marie Stopes Tanzania , kama kuna huduma ya abortion wamei list. Ni kweli kwa nchi ambazo zimeruhusu abortion, matawi ya Marie Stopes ya hizo nchi wanatoa hiyo huduma kisheria. Ila kwa walivyosajiliwa Tanzania, hawajaruhusiwa kutoa hiyo huduma sababu ni kinyume cha sheria (angalia screenshot niliyoweka kwenye hii comment inaonyesha huduma wanazotoa Marie Stopes Tanzania)
 

Attachments

  • Screenshot_2023-01-05-19-02-04-521_com.android.chrome.jpg
    126.7 KB · Views: 6
Hizo lawama tusiwape Marie stopes, wapeni wanao kuja kutoa mimba na wanao wapa mimba maana wanaogopa kuzaa mtoto atatunzwa na nani ?.
Lazima tuwalaumu wote wote. Hawa kwa kutoa hiyo huduma wanakiuka sheria za nchi pamoja na kanuni ambayo imewapatia wao usajili wa kutoa huduma za afya nchini, hivyo lazima tuwalaumu na tuwaripoti.
 
Una moyo wa kimasikin sana wewe,kama mtu akiamua kutoa mimba anatoa tu bila kufika hata hapo Marie stop, misoprostol zipo za kutosha mtaani kwa buku 10 tu mtu anatoa mimba,mind your business mzee
 
Kwa hiyo unaua kiumbe tena binadamu chenye uhai, kisa unafanya planning........sasa huyo ana tofauti gani na yule muuaji anayeua binadamu na kuhukumiwa kunyongwa, maana tayari hicho kiumbe kinachonyofolewa kina uhai kamili na kama ni mapigo ya moyo yanadunda........nyie semeni ni wakala wa ibilisi mnafanya kazi ya mkuu wa giza.​
 
Hapana, soma vizuri uzi wangu. Nimeona tu siwezi kuendelea kushiriki hili. Nimeamua kupaza sauti ili mamlaka husika zichukue hatua stahiki.
So,ina maana na wewe unayo kesi ya kujibu kwa kushiriki hiyo jinai hata kama kwasasa umeacha,kwanini hukuripoti toka mwanzo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…