DOKEZO Clinic ya Marie Stopes Mwanza inatoa huduma za utoaji mimba (abortion)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mkuu acha apoteze kazi jamii ipone,siamini kama hajui hilo,maana hata kazi yenyewe inaonekana haifurahii tena kutokana na kulazimika kufanya kitu ambacho anajua wazi ni kosa.

Tunajua kwamba wanaotoa mimba hapo ni watu walioamua wenyewe lakini kufanywa na taasisi ambayo imeaminiwa Kitaifa kutoa huduma na watumishi wake kukiuka viapo vya maadili haikubaliki,likiachwa hili litaibuka lingine watoto watatekwa huko mitaani wataenda kunyofolewa viungo hapohapo halafu tutasema tena hayatuhusu huku watu wakipotea.

Lazima pawepo wa kujitoa mhanga,Leo hii Nyeyere angelambishwa asali na wakoloni tusingekuwa hapa,kuna watu walikufa Ili wengine tupone,ndivyo dunia ilivyo,uovu hautakoma na wema hautakoma pia.
 
Umekosea kidogo, Marie stopes SIO taasisi ya Kimarekani, ni taasisi ambayo makao makuu yake ni London, Uingereza, na funding yao wanapata kutoka Uingereza, wala sio Marekani.
 
Well said.
 
Hahaha...eti "umeona ufichue", uko ulimwengu wa ngapi ndugu? kipi kisichojulikana kuhusu Marie Stopes?
 
Hivi mfano umempa mwanafunzi mimba
Kipi Nafuu?
Uende jela miaka 30 kumpa mimba mwanafunzi
Au umepeleke akaflashiwe mimba kesi iishe[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini uwe na mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi in the first place? Unafanya mapenzi na mwanafunzi, tena kavu kavu, sasa kwa nini usiozee tu jela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…