Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Hao ni certified aborter kisheria mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri wao wana vifaa vya kisasa wala mtolewaji hasikii maumivu kabisa 🤣🤣🤣 hawatumii machuma kama wale wa hospitali za kata!Marie Stopes ndo kazi yao inajulikana kwa miaka mingi sana. Na sio Mwanza tu ni kila unapoona bango la Marie Stopes Tanzania nzima. Wana uzoefu wa miaka mingi kwenye huo ushetani wa kutoa mimba. Mwaka 2009 nikiwa chuo niliwahi kupendwa na mdada mmoja alikuwa mkubwa kidogo kwangu sasa kabla hata ya kupeana papuchi akawa analalamika mara kwa mara tumbo linamuuma.. akasema nimsindikize Marie Stopes Sinza Afrikasana... tulipofika ndo niligundua alitoa mimba na kinachomsumbua sababu ni hiyo. Nikakata mawasiliano.
Ipo karibu na chuo Cha Sauti ndo mana wengi ni wanafunzi.Clinic ya Marie Stopes iliyoko jijini Mwanza wanajihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Mimba zinatolewa sana pale, hasa za wanafunzi wa vyuo vikuu. Mchezo unaofanyika ni kwamba wanawake wanaohitaji hiyo huduma hufika hapo na huulizia huduma ya abortion, au kwa kujifanya mimba imeharibika.
Kinachofuata, mhusika anafanyiwa huduma inaitwa "dilatation and curateage", ambayo kimsingi ni kutanua njia ya shingo ya kizazi, kisha kuharibu mimba kwa kusafisha kizazi.
Sasa, the way wana record hiyo ili kuficha huo uozo ni wana record kama vile mtu alikuja na "miscarriage" tayari au "incomplete abortion" halafu kuwa wao wakasafisha tu kizazi kuondoa mabaki yaliyobaki kwenye kizazi, lakini ukweli ni kwamba wanakua wameharibu mimba na kufanya abortion ila kwenye rekodi zao wanaonyesha kama vile ni incomplete abortion.
Kuna uwezekano pia timu ya usimamizi wa huduma za afya ya halmashauri na hata ya mkoa inajua kabisa mchezo unaoendelea lakini wananyamazishwa kwa bahasha, maana hizi habari ziliwahi kuripotiwa kwao lakini hakukua na hatua zozote ziulizofuata.
Pia, hawa watu kuanzia wakati wa usahili kama unataka kuajiriwa pale kama daktari au muuguzi, wanakuuliza kabisa wewe mtazamo wako kuhusu utoaji mimba ukoje, na wanakupa scenario kuwa ikitokea wakati unatimiza majukumu yako halafu akaja mteja ambae anataka kutoa mimba je utachukua hatua gani? Ukitoa majibu ambayo yanaonyesha kama vile unapinga mambo ya abortion, wanakuchinjia baharini hupati hiyo kazi.
Tukumbuke kuwa kwa nchi yetu, utoaji wa mimba (abortion) ni kinyume cha sheria za nchi.
Nimeona nifichue hili jamani nimechoka vitendo hivi kila siku nashiriki utoaji mimba ila ni kwa sababu ya njaa tu, nimeona nije kutoa ripoti huku, Wizara ya Afya Tanzania fuatilieni hili mchukue hatua.
Nendeni pale kagueni records zao muone walivyo na "incomplete abortion" kibao ambazo wanazifanyia dilatation and curatage, hizo zote ni mimba ambazo zimetolewa hakuna cha incomplete abortion wala nini.
Fanyeni uchunguzi kwa makini, mtagundua kitu, ila msiende kichwa kichwa.
Asante.
Kumbe hayo ndo masharti? Sasa kwa nini wasiweke tu sharti la kwamba sheria ya nchi ikubali utoaji mimba? Hiyo ingekua rahisi zaidi.Sasa unafikiri nani asiyejua jua shughuli ya hiyo taasisi, halafu nchi inapokubali misaada na mikopo ya mabeberu ndo inakuja na masharti kama hayo kuziacha hizo taasisi zifanye kazi zake kwa uhuru.
Marie stopes kokote walipo, sera ya utoaji mimba kwao siyo jambo geni. Bila shaka wafadhili wao ni waumini wa hayo mambo ya abortion.Yaani ukiona idadi ya mimba zinazoflashiwa hapa Marie stopes Mwanza kila siku, unaweza ukatoa machozi. Wengi wao ni wanafunzi wa vyuo maarufu vya hapa Mwanza (sitaki kuvitaja).
Hakuna. Kinachoniuma ni kwamba umeonekana tu mshamba na haujui ushetani unaoendelea mjini. Pole sana.Aisee. Kwa hiyo hakuna tunachoweza kufanya?
Hayo sasa sio masharti nafuuu au bado huelewi?Kumbe hayo ndo masharti? Sasa kwa nini wasiweke tu sharti la kwamba sheria ya nchi ikubali utoaji mimba? Hiyo ingekua rahisi zaidi.
Duuuhhh...!! Kumbe na wewe ni mnufaika mmojawapo wa huduma zao za abortion. Mamlaka za nchi inabidi wafanye kitu kuhusu hawa watu. Leo tu ninavyoongea from morning, kuna mimba kibao zimeflashiwa hapa.Hao waliniokoa sana zama za ubaharia, Mungu nisamehe tu maana ingekuwa balaa zito endapo ningeonekana nimemtunisha mwanafunzi 🤣🤣🤣
Sheria ya nchi gani? Sheria ya Tanzania hairuhusu abortionHao ni certified aborter kisheria mkuu
We kausha tu mzee hio huduma inaingiza hela balaa ukiwa karibu na chuoDuuuhhh...!! Kumbe na wewe ni mnufaika mmojawapo wa huduma zao za abortion. Mamlaka za nchi inabidi wafanye kitu kuhusu hawa watu. Leo tu ninavyoongea from morning, kuna mimba kibao zimeflashiwa hapa.
Yah, kwa nin mtu umlazimishe kuzaa? Dunia imebadilika kila mtu anaishi katika mipango yake kuendana na mabadiliko hayo. Umlazimishe mtu kuzaa ilhali kweny malezi hutomsaidia hata mia mbili ya panadol mwanae akiumwa!!!!?Sawa kabisa, wanachotakiwa kufanya ni kushawishi serikali ya Tanzania (kupitia wizara ya afya na wizara ya sheria) waweze kuruhusu abortion nchini, na sio kufanya utoaji mimba kinyume cha sheria.
Sheria ya nchi gani? Sheria ya Tanzania hairuhusu abortion
Wanachuo wengi tu wanaflashiwa hapa, wala sio wa SAUT peke yake. Wanachuo wa vyuo vyote unavyovijua Mwanza, hapa wanakuja sana kwa huduma hiyo.Ipo karibu na chuo Cha Sauti ndo mana wengi ni wanafunzi.
Sema me najiuliza hivi maumivu yake jamani sijui kwa kweli.
Huyo Hanifer Mjanja nahisi ameshakuwa Hanifer Bwege sababu hajui hatari ilioko kwenye kupeleka matumizi ustawi au kwenda jela bila huruma 😀Hivi mfano umempa mwanafunzi mimba
Kipi Nafuu?
Uende jela miaka 30 kumpa mimba mwanafunzi
Au umepeleke akaflashiwe mimba kesi iishe[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kwa Tanzania haturuhusu utoaji mimba, labda tu ikiwa maisha ya mama yako hatarini. Sasa wao wanapata wapi nguvu ya kuyafanya hayo nchini, je mamlaka hazilijui hili?Marie stopes kokote walipo, sera ya utoaji mimba kwao siyo jambo geni. Bila shaka wafadhili wao ni waumini wa hayo mambo ya abortion.
Ila aina hiyo pia ya utoaji inafanyika maeneo mengi ndani ya nchi yetu! Hivyo kuyadhibiti kabisa, siyo rahisi. Na pia siku hizi kuna vidonge vya P2!! Sijui ni kwa nini navyo vinauzwa kiholela tu kwenye maduka ya dawa.
Then nguvu kubwa itumike kuelimisha hao customer wa hiyo services .. ukizuia kufanyika kwa hiyo huduma wataenda kienyeji zaidi wafe na sepsis.Duuuhhh...!! Kumbe na wewe ni mnufaika mmojawapo wa huduma zao za abortion. Mamlaka za nchi inabidi wafanye kitu kuhusu hawa watu. Leo tu ninavyoongea from morning, kuna mimba kibao zimeflashiwa hapa.
Nikaushe kwa sababu inalipa sana? Kweli pesa noma.We kausha tu mzee hio huduma inaingiza hela balaa ukiwa karibu na chuo
Ooh Sawa SawA we unafanya kazi hapo bila shaka?Wanachuo wengi tu wanaflashiwa hapa, wala sio wa SAUT peke yake. Wanachuo wa vyuo vyote unavyovijua Mwanza, hapa wanakuja sana kwa huduma hiyo.
Ili umkamate red handed, na kumfukuza kazi mara moja!! Sema tu na yeye amejiachia mno. Hivi hao waajiri wake wakifanya uchunguzi mdogo tu kwa wahudumu wao wa afya hapo kituoni, watamkamata kirahisi sana.By the way Bi Hanifer Mjanja nmeshakupenda siwezi ishi bila wewe nimeshajisogeza upenuni mwa PM yako nipokee nurul ain
Sasa wewe bila pesa utakubali kuwa mke wangu na mimba nikikupa hutatoa?Nikaushe kwa sababu inalipa sana? Kweli pesa noma.