DOKEZO Clinic ya Marie Stopes Mwanza inatoa huduma za utoaji mimba (abortion)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Uzuri wao wana vifaa vya kisasa wala mtolewaji hasikii maumivu kabisa 🤣🤣🤣 hawatumii machuma kama wale wa hospitali za kata!
 
Ipo karibu na chuo Cha Sauti ndo mana wengi ni wanafunzi.
Sema me najiuliza hivi maumivu yake jamani sijui kwa kweli.
 
Sasa unafikiri nani asiyejua jua shughuli ya hiyo taasisi, halafu nchi inapokubali misaada na mikopo ya mabeberu ndo inakuja na masharti kama hayo kuziacha hizo taasisi zifanye kazi zake kwa uhuru.
Kumbe hayo ndo masharti? Sasa kwa nini wasiweke tu sharti la kwamba sheria ya nchi ikubali utoaji mimba? Hiyo ingekua rahisi zaidi.
 
Yaani ukiona idadi ya mimba zinazoflashiwa hapa Marie stopes Mwanza kila siku, unaweza ukatoa machozi. Wengi wao ni wanafunzi wa vyuo maarufu vya hapa Mwanza (sitaki kuvitaja).
Marie stopes kokote walipo, sera ya utoaji mimba kwao siyo jambo geni. Bila shaka wafadhili wao ni waumini wa hayo mambo ya abortion.

Ila aina hiyo pia ya utoaji inafanyika maeneo mengi ndani ya nchi yetu! Hivyo kuyadhibiti kabisa, siyo rahisi. Na pia siku hizi kuna vidonge vya P2!! Sijui ni kwa nini navyo vinauzwa kiholela tu kwenye maduka ya dawa.
 
Hao waliniokoa sana zama za ubaharia, Mungu nisamehe tu maana ingekuwa balaa zito endapo ningeonekana nimemtunisha mwanafunzi 🤣🤣🤣
Duuuhhh...!! Kumbe na wewe ni mnufaika mmojawapo wa huduma zao za abortion. Mamlaka za nchi inabidi wafanye kitu kuhusu hawa watu. Leo tu ninavyoongea from morning, kuna mimba kibao zimeflashiwa hapa.
 
Sawa kabisa, wanachotakiwa kufanya ni kushawishi serikali ya Tanzania (kupitia wizara ya afya na wizara ya sheria) waweze kuruhusu abortion nchini, na sio kufanya utoaji mimba kinyume cha sheria.
Yah, kwa nin mtu umlazimishe kuzaa? Dunia imebadilika kila mtu anaishi katika mipango yake kuendana na mabadiliko hayo. Umlazimishe mtu kuzaa ilhali kweny malezi hutomsaidia hata mia mbili ya panadol mwanae akiumwa!!!!?
 
Ipo karibu na chuo Cha Sauti ndo mana wengi ni wanafunzi.
Sema me najiuliza hivi maumivu yake jamani sijui kwa kweli.
Wanachuo wengi tu wanaflashiwa hapa, wala sio wa SAUT peke yake. Wanachuo wa vyuo vyote unavyovijua Mwanza, hapa wanakuja sana kwa huduma hiyo.
 
Ila kwa Tanzania haturuhusu utoaji mimba, labda tu ikiwa maisha ya mama yako hatarini. Sasa wao wanapata wapi nguvu ya kuyafanya hayo nchini, je mamlaka hazilijui hili?
 
Duuuhhh...!! Kumbe na wewe ni mnufaika mmojawapo wa huduma zao za abortion. Mamlaka za nchi inabidi wafanye kitu kuhusu hawa watu. Leo tu ninavyoongea from morning, kuna mimba kibao zimeflashiwa hapa.
Then nguvu kubwa itumike kuelimisha hao customer wa hiyo services .. ukizuia kufanyika kwa hiyo huduma wataenda kienyeji zaidi wafe na sepsis.

cha kujiuliza ni kwanini tumekuwa na. jamii ya namna hii watu wanabeba na kutaka kutoa?

Energy yako hamishia kwa kutoa elimu kwa customers wako.
 
By the way Bi Hanifer Mjanja nmeshakupenda siwezi ishi bila wewe nimeshajisogeza upenuni mwa PM yako nipokee nurul ain
Ili umkamate red handed, na kumfukuza kazi mara moja!! Sema tu na yeye amejiachia mno. Hivi hao waajiri wake wakifanya uchunguzi mdogo tu kwa wahudumu wao wa afya hapo kituoni, watamkamata kirahisi sana.

Na kama watashindwa, waniite mara moja ili niwakabidhi mhusika wao( just kidding 🤗)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…