4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
No mkuu some time kukaa kimia ni busara tu , hakuna bembeleza hatukua na matangazo yao kwenye kimbunga lissu 2020 ila ilipigwa kampeni siyo ya dunia hii, ni kuacha a nayo Basi tuone tahasis na nguvu ya uma kipi zaidi watu wanaleta propaganda kwenye maisha ya watu , unatumikaje kumdhaliliaha mtu mwenye wafuasi tz zaidi ya m 15 some where unakua na matatizo that's ukaona mh Kinyatta aliona bora kukaa mezani na Ndg laila ili kuleta maridhiano ya kitaifaResponse sahihi inaweza isiwe kuwaunfollow bali kwenda kulipia airtime hapohapo na kuusema ukweli/kuziadress tuhuma ili kuweka records sawasawa.
Kukimbia na “kususa” haijawahi kuwa njia sahihi in most cases
Sasa tz wakati serikali tiyari imebaini tatizo hilo ikiwa kwenye juhudi za kufanya tutoke hapa ,leo wanatokea watu with empty mind, nakuanza chochoea mpasuko huo,
Hawa ni Kama wahin katika taifa ,serikali funga iyo studio ,on other hand timua Sabaya Mara moja tz haiwezi jengwa na watu wenye visa, kuangalia vyeo kuliko taifa
Kuna watu walimuona Mwenyekiti taifa vijana ccm hakufanya sawa katika kuomba radhi but on other hand anajitambua,