NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Clouds ilikuwa ya Ruge mutahaba hii iliyopo ni TBC iliyochangamka ujinga mtupu nilisha acha kutazama na kuisikiliza tangu awamu ya nne ilipomaliza muda wake!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sam Sasali siyo Mgogo ni Mnyasa wa Mbambabay!Ila Clouds wana akili za ajabu sijapata ona, kuna kale kajamaa kanafanana na ndugai huwa nakaangalia naishia kucheka tu
Huyu Mwamakula mbona haeleweki?
Wanajiona ni level ya Ulaya, wapuuzi sn
Mshauri pia Lema ajifunze kuacha space baada ya alama za nukta na mkato.
Hawa ni miongoni mwa waliokwamia bado awamu iliyopita,walikuwepo na wengine,ilifika mahali pindi walipoungana na redio washirika wakisikia habari isiyoipendeza awamu ile hata kama ni kwa maslahi ya taifa,walikuwa tayari kukatiza habari hiyo Hadi iishe.Ndio mambo hayo ya clouds na wengine bado.Nawakumbusha tuu,hii ni awamu ya sita.
Sam Sasali siyo Mgogo ni Mnyasa wa Mbambabay!
Mie niliacha kuitazama walipo mpa Waitara airtime ya kuitukana ChademaClouds ilikuwa ya Ruge mutahaba hii iliyopo ni TBC iliyochangamka ujinga mtupu nilisha acha kutazama na kuisikiliza tangu awamu ya nne ilipomaliza muda wake!!!
Mkuu Lema kwakuwa WEWE NYUNDO KILA TATIZO KWAKO UNAONA MSUMARI TU! Hatuendi hivyo hata kama tungetaka kwenda hivyo...
Hao ni makada na washirika wa kijani wa awamu iliyopita,na hawakuupenda uhuru wa habari pamoja na kuwa habari ndio inawaweka mjini na kuwalisha.ushauri wa bure wasiiendelee kukwamia awamu iliyotangulia waingie swami mpya,yenye uhuru wa habari na isiyo na ukanda,itikadi wala ukabila hiyo ita waleta wantanzania pamoja na kurejesha umoja wa kitaifa.Sababu kuitwa Sabaya tu au kuna lingine, wafuasi wa chadema WAPUMBAVU sana.
Na huyu Askofu ndumi la kuwili anatafuta umaarufu kilazima.
Mna VOW uhuru na haki za vyombo vya habari huku mnawapangia wageni wakuwahita na kuhoji....Kwaiyo mnataka ahojiwe Mbowe?