Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

Response sahihi inaweza isiwe kuwaunfollow bali kwenda kulipia airtime hapohapo na kuusema ukweli/kuziadress tuhuma ili kuweka records sawasawa.

Kukimbia na “kususa” haijawahi kuwa njia sahihi in most cases
No mkuu some time kukaa kimia ni busara tu , hakuna bembeleza hatukua na matangazo yao kwenye kimbunga lissu 2020 ila ilipigwa kampeni siyo ya dunia hii, ni kuacha a nayo Basi tuone tahasis na nguvu ya uma kipi zaidi watu wanaleta propaganda kwenye maisha ya watu , unatumikaje kumdhaliliaha mtu mwenye wafuasi tz zaidi ya m 15 some where unakua na matatizo that's ukaona mh Kinyatta aliona bora kukaa mezani na Ndg laila ili kuleta maridhiano ya kitaifa
Sasa tz wakati serikali tiyari imebaini tatizo hilo ikiwa kwenye juhudi za kufanya tutoke hapa ,leo wanatokea watu with empty mind, nakuanza chochoea mpasuko huo,
Hawa ni Kama wahin katika taifa ,serikali funga iyo studio ,on other hand timua Sabaya Mara moja tz haiwezi jengwa na watu wenye visa, kuangalia vyeo kuliko taifa
Kuna watu walimuona Mwenyekiti taifa vijana ccm hakufanya sawa katika kuomba radhi but on other hand anajitambua,
 
Iko Iko hivi binafsi ukiniambia niyaelezee mapungufu ya vyombo hivi hasa awamu waliyokwamia wengi,kwa mwenye kuwa na mtazamo huru,na ambae hakunufaika na mazingira yaliyokuwepo ataona mapungufu makubwa yaliyokuwepo.
 
Watalia na kusaga meno,Kama ITV inavyo hangaika kwa sasa,ITV tuliwaambia Kuna maisha baada ya uchaguzi lakini hawakusikia.
 
kumbe uhuru wa vyombo vya habari haukubaliki hata na wao nyumbu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa si na wewe/niyie muende mkahojiwe hapo....maana kama mmeona ni wazi kuwa mnafuatilia maana mimi sijaangalia coz sifuatilii.
 
Watalia na kusaga meno,Kama ITV inavyo hangaika kwa sasa,ITV tuliwaambia Kuna maisha baada ya uchaguzi lakini hawakusikia.
Mkuu tuna vizazi vya ajabu unaanzaje kushindana na mtu kama Mbowe mwenye wafuasi katika jamii kivile bila kutoona effect yake katika jamii na Taifa,kisa tu hu mwanaccm,mkuu wa wilaya,au mtangazaji, watu wanaweza acha kuzikana KWA propaganda za kipuuzi na tulisha fika uko,
Wasifikili ata umoja wa kitaifa Zanzibar ulikuja KWA watu kupenda bali ni kutokana na Hali mbaya ya kisiasa visiwani ,so why kukumbatia watu wachache katika taifa wanaojali utengano katika taifa badala ya mshikamano kisa kupalilia vyeo vyao na kufukuzia nyazifa za kuteuliwa too bad,alafu wachekewe
 
Watu wamekubali kununuliwa kama kuku wa kitoweo sokoni. Kusaga kafika bei.

kama wamekubali kununuliwa basi upinzani ni dhaifu sana, unajua mataifa makubwa wanavotumia ela nyingi kuwadanganya viongozi wa afrika ili waachie rasilimali? basi nyie ndo hao viongozi
 

sasa inawahuusu vp chadema sasa? yaani watu wengine bana
 

Ivi unajua mbowe alienda kuomba maridhiano na Tbc?
 
Huu ni uonevu wa hali ya juu Mkuu kama Clouds wanahusika na bank accounts hizo kuwa frozen. Sijawahi kusikia mwajiri akifanya uhuni kama huu kwa Wafanyakazi wake au waliokuwa Wafanyakazi wake. Ngoja tusubiri tusikie yanayojiri kwenye sakata hili.
Noma sana CRDB wamefreeze accounts za staff 17 hatari,naona hadi babe kabaye yumo.
 
Huu ni uonevu wa hali ya juu Mkuu kama Clouds wanahusika na bank accounts hizo kuwa frozen. Sijawahi kusikia mwajiri akifanya uhuni kama huu kwa Wafanyakazi wake au waliokuwa Wafanyakazi wake. Ngoja tusubiri tusikie yanayojiri kwenye sakata hili.
Inasikitisha sana.
 
Reactions: BAK
Erythrocyte, TBC ndio nambari 1 kwa sasa, usifanya chuki zako dhidi ya CCM kuwa issue ya Taifa. Upinzani hauna maana tena
Naona dijaro arungu unaitetea ofisi yako
Mimi Tbc Mara ya mwisho kuiangalia na kusikiliza ilikua mwaka 2008
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…