Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!


Naona una tamani ungekuwa mke wa huyo dogo anayevuta bangi!!!!!

Media zote, magazeti yote yameelemea CCM

Kungekuwa na 50-50% labda chadema atachukua nchi makes your statement valid ..ushindi wa ccm ni 99.7%‰

Kumbuka ni taasisi binafsi
 
Chadema iliwahi kuwaamuru watanzania kuipuuza TBC na kuanzia hapo mpaka naandika uzi huu TBC imepuuzwa nchi nzima na hata watangazaji wake wakitangaza bila kuvaa nguo hakuna mwananchi atakayeangalia TBC.
Tbc inaangaliwa na mamilioni ya watanzania,nyumbu hawajawahi kususa wakfanikiwa
Mliwahi kususia line za voda,mlipata nini?
Unamsaidia kusaga kulipa mishahara?
Chadema acheni kulia lia
 
Naona una tamani ungekuwa mke wa huyo dogo anayevuta bangi!!!!!


Media zote, magazeti yote yameelemea CCM

Kungekuwa na 50-50% labda chadema atachukua nchi makes your statement valid ..ushindi wa ccm ni 99.7%‰

Kumbuka ni taasisi binafsi
Malcom X angekua na akili ya kipumbavu kama yako sidhani kama ungemjua na kutumia Picha yake kwenye Avatar yako.
 
Waliwahi kupigiwa simu asubuhi moja na Magufuli mwaka jana ndio kitu kinachowafanya wawe watumwa.

Watakuwa wameshaiona fursa kama kawaida yao, hata siwashangai.
 
TBC ndio nambari 1 law sasa, usifanya chuki zako dhidi ya ccm kuwa issue ya Taifa. Upinzani hauna maana tena
Nakubali kwa 100% mkuu,TBC ni namba 1 katika kutoa habari za kusifu na kuabudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…