Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Hivi huu ujinga chadema mtaacha lini?Atavuna anachopanda
. Yani unataka kila mtu afuate akili zenu za kichadema?
Hivi ile kampeni yenu ya kususia voda iliishia wapi? Voda imefisilika kwa kukimbiwa na wateja ambao wanafuata msimamo wa kina Lema eti?