Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

Nilishawaonya clouds kuelemea CCM kupitia kipindi Chao Cha Clouds 360 ila naona hawajakoma .

Kusaga akumbuke alianzisha kijifundrise chake cha kipumbavu akihamasisha wenye hela kuchangia kits za COVID19 bila Magufuli kumuonea aibu alimpiga ban kwa kukataza huo upuuzi Tena akamwambia Kuna watu nasikia wameanza kuchangisha michango ya COVID19 hivi Kusaga hajui ameanza kuanguka? Alitumia mbeleko ya kumsifu Ummy Mwalimu, Kusaga kumbuka tuliokuweka hapo juu ni sisi wewe endelea kumsifu mfalme ukasahau ulikotoka

Soma aya ya mwisho Kusaga.

Clouds ni mali ya familia kumbuka ulikabidhiwa wewe toka kwa baba yako mkubwa ambae ndio alibidi apewe clouds wewe ni dogo Sana kwa sababu wewe ni mjukuu mdogo wa mtoto mdogo wa mzee Kusaga yule dogo wa Morogoro baba yake ni mkubwa kwako na Sasa wale watoto wanakuja unajua kwa nini wiki hii dogo kaenda Mbeya....???

Sasa tunakuambia hivi...

Yule mdogo wako anaevuta bangi Mafisa Morogoro na kunywa gongo sasa hivi akili imepevuka anaanza kudai umiliki wa Mali maana hiyo sio Mali yako ni ya familia endelea kufagilia upande mmoja ukaacha wa pili wanasiasa wanapita ....!
Mbona mnatumia vitisho na kashfa ili mpate kuungwa mkono??? Ya enzi hizo za coco beach etc haina maana Adui yako au wake wakati ule asiwe rafiki yake sasa .
Hujui huusiano wake na Mpungwe na Group lake na Joseph upoje n.k.

Mbona mnaongelea vitu kitototo, kwa kujifanya wa mjini na coco beach ya enzi hizo na kuziweka akili hizo sasa hivi.

Maneno haya yanatakiwa kuongelewa na watoto wetu sio sisi.
 
Nilishawaonya clouds kuelemea CCM kupitia kipindi Chao Cha Clouds 360 ila naona hawajakoma .

Kusaga akumbuke alianzisha kijifundrise chake cha kipumbavu akihamasisha wenye hela kuchangia kits za COVID19 bila Magufuli kumuonea aibu alimpiga ban kwa kukataza huo upuuzi Tena akamwambia Kuna watu nasikia wameanza kuchangisha michango ya COVID19 hivi Kusaga hajui ameanza kuanguka? Alitumia mbeleko ya kumsifu Ummy Mwalimu, Kusaga kumbuka tuliokuweka hapo juu ni sisi wewe endelea kumsifu mfalme ukasahau ulikotoka

Soma aya ya mwisho Kusaga.

Clouds ni mali ya familia kumbuka ulikabidhiwa wewe toka kwa baba yako mkubwa ambae ndio alibidi apewe clouds wewe ni dogo Sana kwa sababu wewe ni mjukuu mdogo wa mtoto mdogo wa mzee Kusaga yule dogo wa Morogoro baba yake ni mkubwa kwako na Sasa wale watoto wanakuja unajua kwa nini wiki hii dogo kaenda Mbeya....???

Sasa tunakuambia hivi...

Yule mdogo wako anaevuta bangi Mafisa Morogoro na kunywa gongo sasa hivi akili imepevuka anaanza kudai umiliki wa Mali maana hiyo sio Mali yako ni ya familia endelea kufagilia upande mmoja ukaacha wa pili wanasiasa wanapita ....!
Apa chadema ndio tunapokoseaga kuzusha vitu vila fact dah unatukosea heshma kabisa
 
Asubuhi nimeangalia clouds sasa hivi naangalia TBC chuki unayotaka ienee haitafanikiwa
 
Cloud media kamate hapohapo! Watz tupo nyuma yenu na pamoja nanyi! Erythrocyte hizo ni zile zilipendwa! Chadema ya enzi hizo za ami a parre siyo chadema hi! Msitishie watu wazima nyau! Afu umekariri vibaya...yaani ww na wahuni wenzio wachache mnajidanganya Kuwa bado mna nafasi Tena ktk ulingo huu wa siasa na upuuzi wenu wote mlioumbuka nao! Tafuteni kazi nyingine!
Nimeangalia YouTube Clouds 360 ya jana soni scheme yeyote mbaya kwa chadema. Zaidi ya kuhiliza nini THAMIRA utaijuaje THAMIRA kwa chama kinachotaka kuiondoa CCM na kubadili hilo basi. Sijaona sehemu inayosema vibaya
 
Clouds imegeuka "kikaragosi" cha CCM.
Clouds wanadhihaki wapigania uhuru uliporwa toka 1995 !
CHADEMA kupitia john mrema na Yericko Nyerere Tangazeni kampeni ya Ku-unfollow Clouds Insta, you tube, tweeter na kutoisikiliza kabisa kama TBC ilivyo fanyiwa baada ya kuwa MKE MWENZA WA CCM.
Ondoka wewe, tena kimbia kwa kasi
 
Kimeingia, kimeuma hauwezi kujibu unarusha ngumi hewani

Nilichoandika cha uwongo ni kipi??

Wafanyabiashara hao lazima watalemea CCM

Mara ngapi mnawaambia watu wasisikilize clouds na bado ina wasikilizaji wengi?

Mara ngapi hao clouds wanatoa coverage za chadema?

Kuweni genuine na roho yako...nyie ndio mnakataaga wazazi wenu kuogopa watu

Jibu hoja, sitaki kukutukana, maana hauniwezi na sijawahi kushindwa

CDM ina miaka 25 sasa hawana TV, Radio na channel za maana wewe unataka mtu binafsi na utashi wake aache kufanya cha kumuingizia hela kisa akauogope wewe?

Huu umaskini wa akili mnautoa wapi? Au mbaona kila mtu yuko JF, Twitter na insta? Kitaa kila mtu ni clouds na hawana mawazo yenu ya ki patriotic but very childish kama wewe....
umeongea mzee baba...chukua 5
 
Clouds imegeuka "kikaragosi" cha CCM.
Clouds wanadhihaki wapigania uhuru uliporwa toka 1995 !
CHADEMA kupitia john mrema na Yericko Nyerere Tangazeni kampeni ya Ku-unfollow Clouds Insta, you tube, tweeter na kutoisikiliza kabisa kama TBC ilivyo fanyiwa baada ya kuwa MKE MWENZA WA CCM.
Hahahhahaha... Hebu nisaidie namba za hao uliowataja nikiona kuna za voda pia, itabidi mzibuliwe hiyo miubongo yenu maana akili zenu mmeshikiwa
 
Ninyi mnaona fahari kuwakosoa wengine ila ninyi mkikosolewa ni tatizo. Mnataka huru wa habari freedom of speech sasa hao wanaongea mnaona kama wanawakosea.

Kweli akili zenu mnazijua wenyewe.

Bora hao wametumia akili katika kuwasilisha hoja zao tafauti na ninyi mnavyotukana.
 
Amka mkuu. Kumekucha. Kama unadhani kuna nyumbu wa kuwadekisha lami na kuzungusha mikono, basi unajidanganya
 
Wakati wanahangaika kuji brand hiyo juu wala haikuwepo
Tatizo la kutumia makamasi kufikiri. Mnadhani midia zote ni kama JF!!?
Nyumbu wana mchango gani kwenye midia zingine?
Mnajiliza sana na kuishi maisha ya kudeka na kutaka kubebwa bebwa. Mwisho wenu October
 
Back
Top Bottom