Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa ndio wenye CCM, katika kundi hilo wewe haumo, maana sisi pamoja na wewe tulikuwa tunaenda kulala baada Mzee Mpungwe kuzima disco, naamini bado hujasahau .

Chadema iliwahi kuwaamuru watanzania kuipuuza TBC na kuanzia hapo mpaka naandika uzi huu TBC imepuuzwa nchi nzima na hata watangazaji wake wakitangaza bila kuvaa nguo hakuna mwananchi atakayeangalia TBC.

Achana na Chadema jikite kwenye weledi, hawa watangazaji wanaokuja ambao hawajui hata clouds ilikotoka watakuponza, kutengeneza brand yaweza kuchukua miaka mingi lakini kuiharibu haichukui hata dk 5, kuwa makini mno!

MAJUTO NI MJUKUU, Usije kusema hatukukuambia .

View attachment 1469134
Dah kwel bana tenda wema nenda zako kipind kile wamevamiwa kila mtu alisimama nao kupinga uvamiz ule na RIP Ruge Mtahaba Mungu amuweke mahal pema aliwah kusema story lazma iwe na balance ya pande zote naona baada ya kuondoka kwake bas ndo kituo kimeanza kuyumba naona wameanza kuwa na itikad za kichama ila what goes around cones around..........giza haliwez kuzid nuru

Maoni yang ni wasipoziba ufa watajenga ukuta..

Cc@Cloudsmedialive
Joseph kusaga
 
Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa ndio wenye CCM, katika kundi hilo wewe haumo, maana sisi pamoja na wewe tulikuwa tunaenda kulala baada Mzee Mpungwe kuzima disco, naamini bado hujasahau .

Chadema iliwahi kuwaamuru watanzania kuipuuza TBC na kuanzia hapo mpaka naandika uzi huu TBC imepuuzwa nchi nzima na hata watangazaji wake wakitangaza bila kuvaa nguo hakuna mwananchi atakayeangalia TBC.

Achana na Chadema jikite kwenye weledi, hawa watangazaji wanaokuja ambao hawajui hata clouds ilikotoka watakuponza, kutengeneza brand yaweza kuchukua miaka mingi lakini kuiharibu haichukui hata dk 5, kuwa makini mno!

MAJUTO NI MJUKUU, Usije kusema hatukukuambia .

View attachment 1469134
Acha uongo wewe tbc inaangaliwa sana, usipende kuongea vitu bila kufanya itafiti, kama inakuuma na wewe fungua radio na tv yako. Tusitishane bhana.
 
Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa ndio wenye CCM, katika kundi hilo wewe haumo, maana sisi pamoja na wewe tulikuwa tunaenda kulala baada Mzee Mpungwe kuzima disco, naamini bado hujasahau .

Chadema iliwahi kuwaamuru watanzania kuipuuza TBC na kuanzia hapo mpaka naandika uzi huu TBC imepuuzwa nchi nzima na hata watangazaji wake wakitangaza bila kuvaa nguo hakuna mwananchi atakayeangalia TBC.

Achana na Chadema jikite kwenye weledi, hawa watangazaji wanaokuja ambao hawajui hata clouds ilikotoka watakuponza, kutengeneza brand yaweza kuchukua miaka mingi lakini kuiharibu haichukui hata dk 5, kuwa makini mno!

MAJUTO NI MJUKUU, Usije kusema hatukukuambia .

View attachment 1469134
Acha uongo wewe tbc inaangaliwa sana, usipende kuongea vitu bila kufanya utafiti, kama inakuuma na wewe fungua radio na tv yako. Tusitishane bhana.
 
H
Uko sahihi, wale tulioanza enzi za disco bombastic pale coco beach enzi za akina Boni love na fiesta za miaka ya 2000 mwanzoni tunaelewa clouds sio rahisi kuwaangusha, hawa watu wanajua kuche

Jiulizeni kwanini media zilizoanza miaka pamoja na clouds kwnn hazipati umaarufu na kusikilizwa sana kama clouds? Tuache chuki sio rahisi watu wote wawe kama unavyopenda wewe.
Hiyo ilikua zamani Clouds ilikua inashindana na stations zisizojielewa...hakukua na Efm wala hakukia na Wasafi....kipindi hicho wachambuzi wa soka walijulikana tu Edo Kumwembe na Shaffi..siyo kipindi hiki wapo kila station.
We unaongelea kipindi watu wanasubiri S Sports Extra sahzi watu asubuhi tu wanamsikiliza Eddo na Fundi George Ambangile...bado hajaenda Efm..kuanzia SAA Tisa Radio zote masokoni vijiweni kifupi kwenye mikusanyiko watu wanasikiliza michezo Ufm.
Clouds imekufa na Ruge...Kama unaona mfia Dini B12 aona sawa shauri yako...Wakati Wasafi wamemsaini lil ommy..East Africa kuna Dulla,Big Chawa..
Clouds ilibidi wafute had I kipindi chao cha shilawadu kilikua muda mmoja na Friday Night Live wanajua kilichotokea na mpaka sasa wana kipindi kingine muda bado hawfuniki FNL..
Kuna mengi hatutamaliza BT clouds siyo ile na itakua kama RfA ASAP.
 
Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa ndio wenye CCM, katika kundi hilo wewe haumo, maana sisi pamoja na wewe tulikuwa tunaenda kulala baada Mzee Mpungwe kuzima disco, naamini bado hujasahau .

Chadema iliwahi kuwaamuru watanzania kuipuuza TBC na kuanzia hapo mpaka naandika uzi huu TBC imepuuzwa nchi nzima na hata watangazaji wake wakitangaza bila kuvaa nguo hakuna mwananchi atakayeangalia TBC.

Achana na Chadema jikite kwenye weledi, hawa watangazaji wanaokuja ambao hawajui hata clouds ilikotoka watakuponza, kutengeneza brand yaweza kuchukua miaka mingi lakini kuiharibu haichukui hata dk 5, kuwa makini mno!

MAJUTO NI MJUKUU, Usije kusema hatukukuambia .

View attachment 1469134
[/QUOTE
Huu nao ni uchafu kama uchafu mwingine.
 
Hao chadema achana nao Mkuu juzi walituhamasisha tuvunje lain za voda na picha wakatuonesha kuwa wao wamevunja inakuja michango ya kuwatoa jela wametumia lain hizo hizo tena voda ndio ilio wasaidia
 
Jikite kwenye mada
Mada ni wavurugaji kuteuliwa,na wewe umeula kitengo cha propaganda,hata ubunge huutaki tena upo bize na vichwa vya habari mara musoma kwalipukaaa,moto kuwaka lindiii,Tundu lissu kulihutubia taifa kupitia facebook!!
 
Wenzenu wanateuliwa nyie watoka povu hamna lolote kudadeki !
 
Chadema sasa hivi mmebakia na wivutu hamna Sera tena. Sera ni chuki na kupinga kila kitu.
FB_IMG_15925199262718023.jpeg
 
Back
Top Bottom