Duuuh we jamaa unazungumzia 70's au 2020.TBC ndio channel inayoongoza kwa kuangaliwa na na watu wa rika zote kwa local channel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh we jamaa unazungumzia 70's au 2020.TBC ndio channel inayoongoza kwa kuangaliwa na na watu wa rika zote kwa local channel
Dah kwel bana tenda wema nenda zako kipind kile wamevamiwa kila mtu alisimama nao kupinga uvamiz ule na RIP Ruge Mtahaba Mungu amuweke mahal pema aliwah kusema story lazma iwe na balance ya pande zote naona baada ya kuondoka kwake bas ndo kituo kimeanza kuyumba naona wameanza kuwa na itikad za kichama ila what goes around cones around..........giza haliwez kuzid nuruJoseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa ndio wenye CCM, katika kundi hilo wewe haumo, maana sisi pamoja na wewe tulikuwa tunaenda kulala baada Mzee Mpungwe kuzima disco, naamini bado hujasahau .
Chadema iliwahi kuwaamuru watanzania kuipuuza TBC na kuanzia hapo mpaka naandika uzi huu TBC imepuuzwa nchi nzima na hata watangazaji wake wakitangaza bila kuvaa nguo hakuna mwananchi atakayeangalia TBC.
Achana na Chadema jikite kwenye weledi, hawa watangazaji wanaokuja ambao hawajui hata clouds ilikotoka watakuponza, kutengeneza brand yaweza kuchukua miaka mingi lakini kuiharibu haichukui hata dk 5, kuwa makini mno!
MAJUTO NI MJUKUU, Usije kusema hatukukuambia .
View attachment 1469134
Acha uongo wewe tbc inaangaliwa sana, usipende kuongea vitu bila kufanya itafiti, kama inakuuma na wewe fungua radio na tv yako. Tusitishane bhana.Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa ndio wenye CCM, katika kundi hilo wewe haumo, maana sisi pamoja na wewe tulikuwa tunaenda kulala baada Mzee Mpungwe kuzima disco, naamini bado hujasahau .
Chadema iliwahi kuwaamuru watanzania kuipuuza TBC na kuanzia hapo mpaka naandika uzi huu TBC imepuuzwa nchi nzima na hata watangazaji wake wakitangaza bila kuvaa nguo hakuna mwananchi atakayeangalia TBC.
Achana na Chadema jikite kwenye weledi, hawa watangazaji wanaokuja ambao hawajui hata clouds ilikotoka watakuponza, kutengeneza brand yaweza kuchukua miaka mingi lakini kuiharibu haichukui hata dk 5, kuwa makini mno!
MAJUTO NI MJUKUU, Usije kusema hatukukuambia .
View attachment 1469134
Acha uongo wewe tbc inaangaliwa sana, usipende kuongea vitu bila kufanya utafiti, kama inakuuma na wewe fungua radio na tv yako. Tusitishane bhana.Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa ndio wenye CCM, katika kundi hilo wewe haumo, maana sisi pamoja na wewe tulikuwa tunaenda kulala baada Mzee Mpungwe kuzima disco, naamini bado hujasahau .
Chadema iliwahi kuwaamuru watanzania kuipuuza TBC na kuanzia hapo mpaka naandika uzi huu TBC imepuuzwa nchi nzima na hata watangazaji wake wakitangaza bila kuvaa nguo hakuna mwananchi atakayeangalia TBC.
Achana na Chadema jikite kwenye weledi, hawa watangazaji wanaokuja ambao hawajui hata clouds ilikotoka watakuponza, kutengeneza brand yaweza kuchukua miaka mingi lakini kuiharibu haichukui hata dk 5, kuwa makini mno!
MAJUTO NI MJUKUU, Usije kusema hatukukuambia .
View attachment 1469134
Balance kwenye story ni muhm sio kupayuka kama mbayuwayuKwa hiyo wasiseme kwakuwa mlipaza sauti siku moja? Demokrasia mnayo ihubiri ni ipi?
Hiyo ilikua zamani Clouds ilikua inashindana na stations zisizojielewa...hakukua na Efm wala hakukia na Wasafi....kipindi hicho wachambuzi wa soka walijulikana tu Edo Kumwembe na Shaffi..siyo kipindi hiki wapo kila station.Uko sahihi, wale tulioanza enzi za disco bombastic pale coco beach enzi za akina Boni love na fiesta za miaka ya 2000 mwanzoni tunaelewa clouds sio rahisi kuwaangusha, hawa watu wanajua kuche
Jiulizeni kwanini media zilizoanza miaka pamoja na clouds kwnn hazipati umaarufu na kusikilizwa sana kama clouds? Tuache chuki sio rahisi watu wote wawe kama unavyopenda wewe.
Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa ndio wenye CCM, katika kundi hilo wewe haumo, maana sisi pamoja na wewe tulikuwa tunaenda kulala baada Mzee Mpungwe kuzima disco, naamini bado hujasahau .
Chadema iliwahi kuwaamuru watanzania kuipuuza TBC na kuanzia hapo mpaka naandika uzi huu TBC imepuuzwa nchi nzima na hata watangazaji wake wakitangaza bila kuvaa nguo hakuna mwananchi atakayeangalia TBC.
Achana na Chadema jikite kwenye weledi, hawa watangazaji wanaokuja ambao hawajui hata clouds ilikotoka watakuponza, kutengeneza brand yaweza kuchukua miaka mingi lakini kuiharibu haichukui hata dk 5, kuwa makini mno!
MAJUTO NI MJUKUU, Usije kusema hatukukuambia .
View attachment 1469134
[/QUOTE
Huu nao ni uchafu kama uchafu mwingine.
Mwanzo walikuwa wangapi na sasa wako wangapi?Viewers wa channel ten washapungua tangu inunuliwe
Dah tupo tofauti sana. Tv la hovyo sanaTBC ndio channel inayoongoza kwa kuangaliwa na na watu wa rika zote kwa local channel
Kama wewe ulivyoteuliwa na Mbowe kuvuruga watu mitandaoni,safarii sijakuona ukitia nia ubunge wa kyelaWavurugaji wanateuliwa kupitia mgongo wako
Jikite kwenye madaKama wewe ulivyoteuliwa na Mbowe kuvuruga watu mitandaoni,safarii sijakuona ukitia nia ubunge wa kyela
Mada ni wavurugaji kuteuliwa,na wewe umeula kitengo cha propaganda,hata ubunge huutaki tena upo bize na vichwa vya habari mara musoma kwalipukaaa,moto kuwaka lindiii,Tundu lissu kulihutubia taifa kupitia facebook!!Jikite kwenye mada
Wenzenu wanateuliwa nyie watoka povu hamna lolote kudadeki !Mada ni wavurugaji kuteuliwa,na wewe umeula kitengo cha propaganda,hata ubunge huutaki tena upo bize na vichwa vya habari mara musoma kwalipukaaa,moto kuwaka lindiii,Tundu lissu kulihutubia taifa kupitia facebook!!
Vipi na ile kampeni yenu ya kuvunja laini za Vodacom iliishia wapi. ?! Bwa sheeTuliionya STARTV ikapuuza , nadhani kinachowakuta unakijua