CLOUDS: Mishahara ya walimu inadhalilisha utu wao

Waliocheleweshewa mshahara ni walimu tu??? Si nasikia ngoma imeingia jana usiku tena ikiwa na nyongeza
 
We mwlimu mjanja kwelikweli!! (In voice of JPM), umeona uanzishe Uzi asubuhi hiii kuulizia kama mshahara umetoka!πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.
Nikushauri teacher wangu,
1. Tumia mshahara huo unaopewa kuwekeza sehumu nyingine hilli itakusaidia kutowazia mshahara sanaa.
2. Hakikisha unapambana Ili kuinuia uchumi wako, iakuepusha na ukopaji uvyo.
.....SAWA teacher....
 
Kuna fala mmoja jana analilia mshahara kuchelewa ila kutwa nzima anasifia Serikali ya CCM
 
Asante mwalimu mwenzetu Kwa kutushirikisha ubuyu huu,mtamu kweli
 
Anaji Mpwayungu Village kijanja,siyo mbaya lakini,walimu tufanye Mambo mengine nje ya mshahara jamani
 
Mwalimu ndiye kakufanya wewe ujue kusoma na kuandika - tumia akili hiyo kuwashauri kitu gani wafanye na si kuwananga.

Wewe hutufai
Akili walizompa kashindwa kunitumia vizuri kujikwamua kwenye Lindi la umasikini
 
Picha pls🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…