Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Mwalimu akienda job....hana habareee na mtyuuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 2632022
Kivumbi Leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwalimu akienda job....hana habareee na mtyuuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 2632022
Kivumbi Leo
Na JashoView attachment 2632022
Kivumbi Leo
Mbona anawatetea sasa?Nadhani huyu jamaa ana matizo na walimu sijui walimfanyia nini?
Huwez kuwa naa stress wala kuzeeka reasons behind una malengo madogo maishan mwl akipata salary akaowa aka buy boda amemalza maisha ya dunian..... Hii work for tz inafiti ordinary citizensSisi walimu tunafuraha na mishahara yetu ndio maana mwalimu wako wa primary mpaka leo Bado yupoo Tena Yuko fit kweli kweli ... ....
Ualimu ni kazi nzuri sana ,Haina stress ,hauzeeki kabisa ,kiufupi unaenjoy maisha kabisa ......
Kuwa na pesa kitu gani bana ,hapa dunian cha mhimu ni furahaaaaa tu ,just to be happy...hayo mengine ni kujilisha upepo ....
Walimu oyeeeeeeeeeeeeee tuchapee kaziii ndugu zangu walimuuui
Kuna ticha wa primary kamtomb......a mkeNadhani huyu jamaa ana matizo na walimu sijui walimfanyia nini?
Hahaha. Hebu nitajue allowance za huko serikalini au serikali za mitaa tamisemi!!Kada zingine Zina allowance kibao, food allowance, house allowance, transport allowance, nk mbali na hayo wana vikao kila wiki tena vya pesa nzuri tu. Sasa njoo Kwa walimu manina anasahihisha mitihani ya ndani bureee, anasimama bureee, mitihani ya mock mkoa na wilaya bureeee, anafundisha mpaka jumapili bureeee, hawana hata vikao navikiwepo vya SMT ni bureeee, kila kitu halambi hata sumuni
Ni kweli mkuu, tofauti yao kidogo ni ile accessibility ya posho za safari ndogo ndogo na vikao!!
Mwalimu mwenye shahada ya kwanza anayeeanza kazi huanza na 780, 000 hii inaitwa D1 . Kila baada ya miaka 3 hupanda daraja. Daraja la mwisho kabisa ni "I" ambayo ni 3.2M.
Hii mishahara siyo midogo ukilinganisha na kada zingine. Tofauti ni kwamba mwalimu hana mazingira ya kula rushwa au kupata posho zingine inje na mshahara.
Yaani nakushangaa kazi ni kusimanga walimu ila huleti suluhisho katika hoja yako? Kama ma tatizo kila. Mtu anajua tupe suluhu sio kudhalilisha walimu, kwani Kuna asietaka kuwa na mshahara mzuri na marupurupu? Heshimu basi hata kama hawana uwezo wako.. Lakini Wali husika kukupa maarifa😎Mpaka vyombo vya Habari vimeliona hili, walimu mjitathimini vinginevyo mtadharaulika mpaka kufa kwenu. Mnachekwa mpaka na watoto wanadai mmekuwa ombaomba kwa kuwaomba wanafunzi wawanunulie Chai muda wa break na wakisema pesa hawana mnawachapa.
Walimu wengi mnawalazimisha wanafunzi wanunue vibiashara vyenu vya ubuyu na ice-cream za ubuyu wa mia mia vibiashara ambavyo faida yake haifiki hata Buku tano.
View attachment 2632018
Huwez kuwa naa stress wala kuzeeka reasons behind una malengo madogo maishan mwl akipata salary akaowa aka buy boda amemalza maisha ya dunian..... Hii work for tz inafiti ordinary citizens
Suluhu ni kuandamana tu wadai maslahi YaoYaani nakushangaa kazi ni kusimanga walimu ila huleti suluhisho katika hoja yako? Kama ma tatizo kila. Mtu anajua tupe suluhu sio kudhalilisha walimu, kwani Kuna asietaka kuwa na mshahara mzuri na marupurupu? Heshimu basi hata kama hawana uwezo wako.. Lakini Wali husika kukupa maarifa[emoji41]
Punguza mihemkoHuna adabu! samahani japo huo ndio ukweli!! Una nini wewe cha kuwazidi walimu katika maisha ya leo!! Hapo hapo ulipo tembelea shule ya msingi au ya sekondari uone magari wanayotembelea walimu!! Tembelea nyumba walizojenga, tembelea miradi yao mingine wanayofanya mbali na ajira yao!! Bila shaka utaficha uso wako!! Umekariri ujinga!! walimu wamekutoa tongotongo umejua kusoma na kuandika halafu unakuja kuwadharau hapa!! Hii nchi imeshawahi kuongozwa na walimu, si mmoja, si wawili!! Wewe hapo ulipo huna cha kuwazidi walimu nina uhakika!!. Are you serious? kwamba mwalimu anaishia kununua boda? Hivi hapo ulipo hakuna shule ya sekondari au msingi uende hapo kama hutaona magari ya walimu ambayo wewe huna!! Tafadhali jifunze kuwa na adabu!!
Kwanza clouds wanalipa hata hiyo laki tatu? Media ziko hoi hizi hakuna kada ina tabu kama waandishi lakini wana midomo mirefu kama chuchunge..Nina uhakika asilimia mia mshahara wa cloud hauuzidi wa mwalimu wa primary anaeanza kazi!! Primary ilakuwa laki Tano niambieni clouds wanalipwa sh ngapi!! Kama sio laki 3 !!!