Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Naamuru Azizi Ki apelekwe jeshi la zimamoto haraka iwezekanavyo akaungane na shujaa majaliwa
Cheki naye huyu

Haya ni matukio ya msimu, mechi mbili au tatu zijazo utamkataa
 
Huyu Makolokolo nilimjibu kwenye post no. 98 kuwa "Usilitaje jina la BWANA Mungu wako bure" sijui sasa hivi anajionaje alivyo MBUMBUMBU....[emoji2960]
 
Huyu Makolokolo nilimjibu kwenye post no. 98 kuwa "Usilitaje jina la BWANA Mungu wako bure" sijui sasa hivi anajionaje alivyo MBUMBUMBU....[emoji2960]
Acha mikwara

Humu wote tunajua kwenye mpira mazari yapo

Na ndio maana hata mechi zilizoisha vibaya tuliwasikia viongozi wakisema "bahati haikuwa upande wetu"
 
Tukiacha ushabiki, Yanga wamecheza game vizuri sana, waliwazidi wale waarabu kila kitu.
Wamestahili kufuzu Makundi hakika.
Hilo tuliliongea sisi dakika ya mwanzoni kabisa na haikuwa mara ya kwanza kwa Yanga kufanya hivyo

Tushawaona wakiwa na Al Hilal, home and away kote wali dominate mpira ila ishu ilikuwa ni ku convert nafasi kuwa goli
 
Pole [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Namuona UTOPOLO akipigwa goli 2 za mapema kabisa kipindi cha Kwanza
Vipi hali yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tunajua leo mtasema yoote huku mkiombea dua zenu zitimie ila Wananchi hatujali wala nini.

Kila la kheri Timu ya Wananchi.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Yameshakimbia tayari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Moderator Hebu Tuongezee hapo kwenye heading..Uwanja wa Hammedi Agrebi Olympic Rades.

Ili vizazi vijavyo vijue kuwa Gongowazi kumbe waliuliwa kinyama kwenye Uwanja wa Hammedi Agrebi Olympic-Rades.
Unaendeleaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…