Mi mbona simlaumu kocha? Kwanza sina tabia ya kumlaumu mtu kwenye timu waka benchi la ufundi. Ntapitia mtani uweke na pilipili nyingiii iniwashe vizuriHa ha ha kesho pitia mihogo hapa ila kocha wenu si mbaya nyie tu mnashindwa zenu.[emoji3][emoji3]
Shadeeya sio bure mumekwenda na uchawi Tunisia. Bila hivyo mngekua mumechezea mutatu bila
Mkuu kumpiga mwarabu kwake hakuna timu kutoka TZ kuwahi kufanya tena kwenye aridhi ya kwake ni yanga africans pekee historia jana imeandikwaaaMaajabu
Bingwa anashangilia makundi shirikisho.....mshindi anangoja makundi klabu bingwa........
Ujue Veterani hadi nacheka yaani na hizi comments zako. Lol.Wamekutana wala mihogo wa Tunisia na wala mihogo wa Bongo. Sasa itakuaje? Wala mihogo squares
Hebu ongeza sauti....eti unasema!!?Kila nikijaribu kuiombea yanga kuna sauti inasema ndani yangu kwamba "USIMJARIBU BWANA MUNGU WAKO". Basi naamua kuitii hiyo sauti mana staki dhambi mimi. Wachezaji wa Yanga wanatamani wangepata ajali kama ile ya precision air ili kuficha aibu yao kwa taifa .
Akili Yako Haina Akili wwWale wa kombe la losers mmeamkaa? Nimeshaanda mihogo hapa na chachandu la kujichotea nimepata ile mihogo inayochambuka vizuurii.
Hahahaaa. LolMakolo ni Makolo tu, na Akili zao za kikolo
Jana kama tupo Kwa mkapa tuJana game ilimkubali sana yaani.
Maneno ya mkosaji, kwani we hujui Kuna first leg na second?Mpaka msemwe ndio mshinde
Simba alimtoa Zamalek kwake......mkuu kumpiga mwarabu kwake hakuna timu kutoka tz kuwahi kufanya tena kwenye aridhi ya kwake ni yanga africans pekee historia jana imeandikwaaa
kumbuka jamaa wanaenda word cup
Haji Sunday ManaraAliyeita hivyo ni nani?
Mwaka gani?🤣 hatutaki historiaSimba alimtoa Zamalek kwake......
Naameka kweli😄Mechi ya Yanga mikia mna haha!
Mwarabu leo anakalishwa
Kanywe nao maji ya bahari ya MediteraneanKila la heri Club Africain. Tuna imani kubwa nanyi.
Mrudishene Mdhunguu mweuthi kwao Udigoni😄Ndio nasikia hapa kwenye radio kuwa nabi hii mechi imeshika hatma yake pale kigamboni. Itakuwa alienda na mabegi yake yote maana anarudi nyumbani