Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

mkuu kumpiga mwarabu kwake hakuna timu kutoka tz kuwahi kufanya tena kwenye aridhi ya kwake ni yanga africans pekee historia jana imeandikwaaa


kumbuka jamaa wanaenda word cup
Word cup ni nini

Simba alimtoa Zamalek kwake

Yaani furaha imezidi mpaka unaandika ujinga
 
Simba alimtoa Zamalek kwake......
Simba ilifungwa na Zamalek wakaenda kwenye penalties Kaseja akaibeba timu, Simba walivyorudi Dar mji ulisimama hayo mapokezi yake na hapo ilikuwa wanaingia round ya Pili na wala siyo makundi.

Yanga imemaliza mechi ndani ya dakika 90 kwa kushinda, kuna tofauti kubwa tu hapo, Yanga haijafungwa hata goli moja na hao Africain.

Ngoja tuandae mapokezi ya mashujaa wetu ili muumie vizuri.
 
Word cup ni nini

Simba alimtoa zamalek kwake

Yaani furaha imezidi mpaka unaandika ujinga
Ngoja tukukumbushe, Simba ilifungwa goli moja bila na Zamalek mkaenda kwenye penati Kaseja akaibeba timu.

Simba ilivyorudi Dar ilikuwa ni siku ya kazi lakini mapokezi yake kutoka airport ilikuwa ni balaa.

Sasa ni zamu ya Yanga mkae kitako kwa kutulia.
 
Soap alikupigeni Hattrick lakini haiwezi kuwa big story kuwa ni mchezaji bora wakumuundia tume

Azizi Ki ni mchezaji wakawaida sana na hili nalisema leo ikiwa kafunga goli, kwasababu performance na kufunga goli ni vitu viwili tofauti

Utofauti wa nyie na mimi ni kwamba nyie mnahesabu goli kama performance
Dogo unajifanya unajua sana mpira lakini kumbe we ni mweupe sana...unaongea vapour sana. kachambue singeli labda ndo unachoweza lakin mpira bado sana
 
Dogo unajifanya unajua sana mpira lakini kumbe we ni mweupe sana...unaongea vapour sana. kachambue singeli labda ndo unachoweza lakin mpira bado sana
Mbona tunafahamu, huu utaratibu wa kila mtu kutoa positive thoughts kwa mchezaji baada ya kupata ushindi ni kawaida sana
 
Sasa ndio muache kuliita kombe la LOOSER.....sio mnashangilia Simba akitoboa mnaliita kombe la LOOSER.......

Btw.
Huko ndio kunakowafaa Kwa watoto wenzenu......
Jana singida kawainamisha , mkainama akashindilia hogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkakukuruka kulichomoa wee likachoka na mavi just[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mamaeee
 
Back
Top Bottom